TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishara ya utawala
Aisee hawa wahenga enzi zao walikuwa ni moto lakini wengi hapo wamekufa vifo vya kusikitisha sanaView attachment 1028590
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Awakugundua kuwa vijana waliowaelimisha walienda na kasi ya mabadiliko ya duniani. Wengi walifikiri kupata uhuru kungewapa u rais wa maisha. Hawakujiandaa kwa transition of power.Aisee hawa wahenga enzi zao walikuwa ni moto lakini wengi hapo wamekufa vifo vya kusikitisha sana
Obote Alipinduliwa Akiwa Katika Mkutano Wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, Jacarta Indonesia... Na ilikuwa 1971Ninadhani ni wakati wa mkutano huu wa OAU ndipo Milton Obote wa Uganda alipunduliwa. Hii picha ni ya mwaka 1972.
Mobutu na Nyerere hawakuwahi kuiva kabisa.
Tatizo la Nyerere alituachia kwa makusudi kabisa li katiba libovu linao ipendelea CCM na kututesa hadi leo.Awakugundua kuwa vijana waliowaelimisha walienda na kasi ya mabadiliko ya duniani. Wengi walifikiri kupata uhuru kungewapa u rais wa maisha. Hawakujiandaa kwa transition of power.
Nyerere aliondoka kwa heshima tena bila kujilimbikizia mali.
Ninadhani ni wakati wa mkutano huu wa OAU ndipo Milton Obote wa Uganda alipunduliwa. Hii picha ni ya mwaka 1972.
Mobutu na Nyerere hawakuwahi kuiva kabisa.
Baada ya kutoka madarakani Chiluba alimfunga Kaunda, Nyerere alikwenda kumsalimia gerezani na ali lobby atolewe.Tatizo la Nyerere alituachia kwa makusudi kabisa li katiba libovu linao ipendelea CCM na kututesa hadi leo.
Kaunda KK alishindwa kwenye uchaguzi 1991 na Chiluba wa MMD, lakini aliendesha uchaguzi ambao ni wa aina yake na ndani ya sheria. Matokeo ya uraisi yalikuwa yanatangazwa moja kwa moja toka vituoni kwa hiyo kila mtu alikuwa ana jijumlishia tu na aliposhindwa aliondoka bila kuleta figisu zezote. TANZANIA MPAKA LEO HILO LIMETUSHINDA. Wazambia wengi walifurahi sana lakini sasa wanamkubali kama baba wa taifa lao bila kinyongo. NAMPA SALUTE BABU KAUNDA.
Baby wangu Wa jukwaa hili upo vyemaBaada ya kutoka madarakani Chiluba alimfunga Kaunda, Nyerere alikwenda kumsalimia gerezani na ali lobby atolewe.
Enzi hizo viongozi wanatumia hekima, akili, busara na sio mizuka kama siku hiziView attachment 1028590
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Si Bhokasa mkuu huyu alikuwa evil dictectorEnzi hizo viongozi wanatumia hekima, akili, busara na sio mizuka kama siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo historia umeipata wapi? Labda kama unachanganya madesa.Vision ya Nyerere ilikuwa kuingunisha Afrika kama muungano wa North America. Aliona umoja ndiyo utakaoleta maendeleo.
Alitumis resources nyingi katika ukombozi wa bars la Afrika. Siasa za ujamaa hazikuleta tija pai vita ya Kagera iliturudisha nyuma sana.
Pan-Africanism in Mwalimu Nyerere’s thought | Pambazuka NewsHiyo historia umeipata wapi? Labda kama unachanganya madesa.
Kweli Maisha yanaenda kasi sana, zaidi ya Mwanga wa Jua. #freedomfightersView attachment 1028590
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Kumbe kapinduliwa?...sema hajaonja mateso aliyomsababishia mwenzake Sankara [emoji848]
Hee[emoji44][emoji44]....kwanini alimfunga huyo babu maskini?Baada ya kutoka madarakani Chiluba alimfunga Kaunda, Nyerere alikwenda kumsalimia gerezani na ali lobby atolewe.
Ni kweli ila nilisikia Icc wanamlia mingoKumbe kapinduliwa?...sema hajaonja mateso aliyomsababishia mwenzake Sankara [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii makala ya Prof Shivji utakuwa hujaisoma. Ungeisoma usingeandika ukivyoandika kabla.
Ila Magufuli na kabila waliivaNinadhani ni wakati wa mkutano huu wa OAU ndipo Milton Obote wa Uganda alipunduliwa. Hii picha ni ya mwaka 1972.
Mobutu na Nyerere hawakuwahi kuiva kabisa.