Computer mpakato
Member
- Jan 18, 2019
- 75
- 38
Neto yuko nyuma hapo kavaa miwaniView attachment 1028590
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Huyo mwenye tabasamu ndiye Agustino Neto,Mbona huyo aliye kushoto kwa Dr.Ken Kaunda,mwenye miwani na tabasamu mwanana,ni kama Tundu Lissu?
Hata hivyo,nichukue fursa hii kumtakia maisha H.E Dr.Kaunda.Huyu alikuwa mmoja wa Marais wacha Mungu na mtu-wa-watu,kama alivyo H.E Alhaji Mwinyi,na si ajabu Mwenyezi Mungu kawatunuku maisha marefu (though si lazima kwamba ukiwa mtu mwema ndo utaishi maisha marefu,na kinyume chake).
Mbona huyo aliye kushoto kwa Dr.Ken Kaunda,mwenye miwani na tabasamu mwanana,ni kama Tundu Lissu?
Hata hivyo,nichukue fursa hii kumtakia maisha H.E Dr.Kaunda.Huyu alikuwa mmoja wa Marais wacha Mungu na mtu-wa-watu,kama alivyo H.E Alhaji Mwinyi,na si ajabu Mwenyezi Mungu kawatunuku maisha marefu (though si lazima kwamba ukiwa mtu mwema ndo utaishi maisha marefu,na kinyume chake).
Vision ya Nyerere ilikuwa kuingunisha Afrika kama muungano wa North America. Aliona umoja ndiyo utakaoleta maendeleo.
Alitumis resources nyingi katika ukombozi wa bars la Afrika. Siasa za ujamaa hazikuleta tija pai vita ya Kagera iliturudisha nyuma sana.
Hivooo? Ndo maana ni agelessRais Kaunda aliamua kuacha kula nyama siku nyingi sana. Chakula chake kikubwa ni mboga, matunda na mizizi. Nusu ya chakula chake kwa siku hupikwa nusu anakula chakula raw edible foods.
Ni nadra sana kupata historia yake katika hizi nchi zetu
Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?Kiukweli sijaona kama Nyerere Afrika,ni vile uzee unakuja kwa kasi na kunyang'anya uongozi kabla hajaweka sawa fikra zake. Eti Mandera ndio nembo ya Afrika? Wizi mtupu. Hakuna kama Nyerere Afrika nzima. Ni vile tu wazungu walikuwa hawamtaki Nyerere,na wamejitahidi kufifisha historia njema yako iliyotukuka. Badala yake wamemkweza Mandela kwa kitendo chake kimoja tu kukubariana nao. Lakini Nyerere kaifanyia makubwa sana Afrika nzima kuliko kiongozi yoyote Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ka- baba wataifa kanapiga story kama kawaida yake, utani utani hivi!View attachment 1028590
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Kambarage alikua anamtania Bhokasa inaelekeaMbona ka- baba wataifa kanapiga story kama kawaida yake, utani utani hivi!
Daaaa! hii team poa sana walikuwa wanapendana sana, inanikumbusha rafiki zangu niliosoma nao Lugalo miaka ya nyuma, tukichoka tunaenda Beach Hotel kuleee kawe samakisamaki via Gwajima church, tuna gonga samaki sana na Ugali kidogo Manyonyi, Kimaro, Sebogwe, Lubuva, weee!. sijui yako wapi haya majamaa.
Hivi vijamaa vilipendana km sisi. kwa nini siku hizi hawapendani?
Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?
Ninakumbuka unga wa bulger kutoka USA, ulikuwa na maziwa na sukari, unga wa Yanga na maharage aina ya pintos..mbona wakati wa Mwalimu tulikuwa tukipewa misaada mingi tu toka western countries?
..hivi mnafikiri viwanda alivyojenga Mwalimu Nyerere fedha[misaada na mikopo] alikuwa anatoa wapi?
..Mwalimu alikosana na nchi za magharibi miaka ya 80, lakini huko nyuma alikuwa rafiki yao, ukiondoa mikwaruzano midogo-midogo ktk masuala ya uhuru wa nchi za kusini mwa afrika.
Ninakumbuka unga wa bulger kutoka USA, ulikuwa na maziwa na sukari, unga wa Yanga na maharage aina ya pintos
Alikosana na West kwa kufunga a na Eastern Europe na China wakati wa The Cold War.
Siasa yetu ya nje ilikuwa ni ya kuto ku fungamana na upande wowote, zamani na waliisoma kabisaa mashuleni, kwenye Nationa exam, Past papers nyingi lipo hilo swaliNinakumbuka unga wa bulger kutoka USA, ulikuwa na maziwa na sukari, unga wa Yanga na maharage aina ya pintos
Alikosana na West kwa kufunga a na Eastern Europe na China wakati wa The Cold War.
Wakati picha hii inapigwa mwanadiplomasia nguli dr salim ahmed salim alikuwa balozi wetu wa kudumu umoja wa mataifa new yorkHe was very young by the time, probably hatokuwepo
Msingi na msimamo wa rais nyerere wakati ule kuhusu kuunganisha afrika moja ulilenga "kuboresha na kuunganisha jumuiya ndogo ndogo za kikanda(regional integrations) kabla ya kuunda kwa nchi moja ya afrika"