Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Kwa ivo hapo ndiyo umechangia hoja ama umeleta vihoja?Kwa kweli akili za watanzania asilimia kubwa ni matope tupu........najionea aibu kuishi Tanzania aisee. Daah na jamaa ni verified kabisaaa
Sasa hiyo CHAN kugoma kwa waarabu wamemgomea Hersi au wameigomea CAF? Hilo ni swala la shirikisho la soka Africa CAFAl ahly,wydad,esperance,raja casablanca na timu za kiarabu zote hawamjui wala hawamtambui huyo msomali kama rais wa vilabu africa kama unabisha muambie aitishe kikao cha vilabu uone kama watakuja. "CHAN" michuano rasmi ya "CAF" waarabu wamegomea tena kwa dharau wamesema hawana timu ya kucheza michuano ka ma hiyo. Wao wana timu za kucheza "AFCON" na "WORLD CUP" sembuse huyo msomali wa tandale kwa tumbo.
Simba ingekuwa klabu bingwa isingekuwa Pot 1 hata kidogo kwasababu kwenye rank Simba inashika nafasi ya 7 wakati pot moja inachukua timu 4 pekee.SIMBA kama tungekuwa klabu bingwa bado tungekuwa pot no.1 kataa tuone.
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.Simba ingekuwa klabu bingwa isingekuwa Pot 1 hata kidogo kwasababu kwenye rank Simba inashika nafasi ya 7 wakati pot moja inachukua timu 4 pekee.
Unadhani kati ya rais wa Tff na club ni nani mkubwa?? Ukipata jibu basi unafuta hata threadKama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Unapokuwa verified unatakiwa kuanzisha mada ambazo hazita kuaibisha, kwa watu kujiuliza akili yako ipoje.Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
kuwa poti namba 1 sio shida,shida inakuja pale watu wanapoona poti lenyewe kumbe la makande wapi umeona watu wanajisifia kwa kula makandeKama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
Lete permutations zako.SIMBA kama tungekuwa klabu bingwa bado tungekuwa pot no.1 kataa tuone.
Hapo sasa....Wewe ndio hujui mpira, unafanya assumption ya upande mmoja eti Simba angekuwa klabu bingwa angekuwa pot 1, kama Simba angekuwa anacheza klabu bingwa basi hata Zamalek na Berkane wangecheza kabu bingwa hivyo Simba asingekaa pot 1 kwasababu pot 1 ingekuwa na Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, Zamalek.
Operation fyeka vichaka imeanza soon tu hamtaimba wlmbo huu wa pot one wala safasi ya Saba mnayo dengua nayo.Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
tp mazembe wa 9 kawaje pot no.1? Hili mbona haujibu?Wewe ndio hujui mpira, unafanya assumption ya upande mmoja eti Simba angekuwa klabu bingwa angekuwa pot 1, kama Simba angekuwa anacheza klabu bingwa basi hata Zamalek na Berkane wangecheza kabu bingwa hivyo hivyo na kuifanya Simba isikae pot 1 kwasababu pot 1 ingekuwa na Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, Zamalek.
mpira haujui nenda kanisani ukaimbe huku ukiwavizia kondoo wa bwana uwatafuneOperation fyeka vichaka imeanza soon tu hamtaimba wlmbo huu wa pot one wala safasi ya Saba mnayo dengua nayo.
medali unayojivunia ilikuwa ni ya kombe gani?kuwa poti namba 1 sio shida,shida inakuja pale watu wanapoona poti lenyewe kumbe la makande wapi umeona watu wanajisifia kwa kula makande
fainali mliyocheza nyinyi yanga mkavaa na medali ilikuwa ni fainali ya kombe gani? Nimeongeza sauti nasubiri jibu.mbumbumbu ni mbumbumbu tu.mazuzu fc aliewaroga ni nani? POT1 kombe la kina mama ama kombe gani aise mna safari ndefu...