Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

Kwa kweli akili za watanzania asilimia kubwa ni matope tupu........najionea aibu kuishi Tanzania aisee. Daah na jamaa ni verified kabisaaa
Kwa ivo hapo ndiyo umechangia hoja ama umeleta vihoja?

Kwa ivo wewe siyo verified ili uandike mambo ya hovyo? Swali liko pale pale likiwa liko vile vile.
 
Al ahly,wydad,esperance,raja casablanca na timu za kiarabu zote hawamjui wala hawamtambui huyo msomali kama rais wa vilabu africa kama unabisha muambie aitishe kikao cha vilabu uone kama watakuja. "CHAN" michuano rasmi ya "CAF" waarabu wamegomea tena kwa dharau wamesema hawana timu ya kucheza michuano ka ma hiyo. Wao wana timu za kucheza "AFCON" na "WORLD CUP" sembuse huyo msomali wa tandale kwa tumbo.
Sasa hiyo CHAN kugoma kwa waarabu wamemgomea Hersi au wameigomea CAF? Hilo ni swala la shirikisho la soka Africa CAF
 
Simba ingekuwa klabu bingwa isingekuwa Pot 1 hata kidogo kwasababu kwenye rank Simba inashika nafasi ya 7 wakati pot moja inachukua timu 4 pekee.
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
 
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Unadhani kati ya rais wa Tff na club ni nani mkubwa?? Ukipata jibu basi unafuta hata thread
 
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Unapokuwa verified unatakiwa kuanzisha mada ambazo hazita kuaibisha, kwa watu kujiuliza akili yako ipoje.
 
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
kuwa poti namba 1 sio shida,shida inakuja pale watu wanapoona poti lenyewe kumbe la makande wapi umeona watu wanajisifia kwa kula makande
 
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.

Wewe ndio hujui mpira, unafanya assumption ya upande mmoja eti Simba angekuwa klabu bingwa angekuwa pot 1, kama Simba angekuwa anacheza klabu bingwa basi hata Zamalek na Berkane wangecheza kabu bingwa hivyo hivyo na kuifanya Simba isikae pot 1 kwasababu pot 1 ingekuwa na Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, Zamalek.
 
Wewe ndio hujui mpira, unafanya assumption ya upande mmoja eti Simba angekuwa klabu bingwa angekuwa pot 1, kama Simba angekuwa anacheza klabu bingwa basi hata Zamalek na Berkane wangecheza kabu bingwa hivyo Simba asingekaa pot 1 kwasababu pot 1 ingekuwa na Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, Zamalek.
Hapo sasa....
 
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Operation fyeka vichaka imeanza soon tu hamtaimba wlmbo huu wa pot one wala safasi ya Saba mnayo dengua nayo.
 
Habari ya Pot 1 imeisha week hii, ila huyo Mwamba ataendelea peperusha bendera kwa muda mrefu.

Simba kuwa pot 1 kunaipatia club exposure gani?
Kunaitangaza vipi club?
Ila leo Hersi uko duniani kote anakoenda anaenda itangaza yanga kwa mgongo waa Africa.
 
Wewe ndio hujui mpira, unafanya assumption ya upande mmoja eti Simba angekuwa klabu bingwa angekuwa pot 1, kama Simba angekuwa anacheza klabu bingwa basi hata Zamalek na Berkane wangecheza kabu bingwa hivyo hivyo na kuifanya Simba isikae pot 1 kwasababu pot 1 ingekuwa na Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, Zamalek.
tp mazembe wa 9 kawaje pot no.1? Hili mbona haujibu?
 
Back
Top Bottom