nimeandika poti la makande sio medali...km unataka kuzungumzia medali ndo ukae mbali kabisa huu mwaka pekee yanga wamevaa medali 4,simba 1,tena ya mshindi wa pilmedali unayojivunia ilikuwa ni ya kombe gani?
hujajibu swali ulipocheza fainali na usm alger ukatiwa bao mbili moya kwa mkapa ukamaliza nafasi ya pili ulivaa medali ya kombe lipi? Na hiyo fainali ilikuwa ya kombe lipi?nimeandika poti la makande sio medali...km unataka kuzungumzia medali ndo ukae mbali kabisa huu mwaka pekee yanga wamevaa medali 4,simba 1,tena ya mshindi wa pil
mbumbumbu una uhakika hilo ndo swali ulilouliza?hujajibu swali ulipocheza fainali na usm alger ukatiwa bao mbili moya kwa mkapa ukamaliza nafasi ya pili ulivaa medali ya kombe lipi? Na hiyo fainali ilikuwa ya kombe lipi?
kama simba angeshiriki CAFCL basi na hao berkane,wydad,zamalek wangeshiriki. je unafkiri simba angekuwa pot 1 kama unavyodai?kauli mbiu yako: #akili kisoda povu jingi#unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
Ni kwasababu kuna timu zimeshindwa kufurukuta kuwepo kwenye ligi ya wanaume. Timu hizo ni Wydad, Zamalek, Simba, Berkane, Petro de Luanda.tp mazembe wa 9 kawaje pot no.1? Hili mbona haujibu?
Acheni kujizungusha wakati mmeielewa vizuri hoja ya huyo jamaa kwani haiwezekani simba kufuzu bila hizo timu nyingine kufuzu kwamba zinacheza ligi moja au, kama inawezekana basi ndio jamaa ameassume kwamba simba ingefuzu bila hizo timu nyingine kufuzu basi ingeangukia Pot 1, hoja ni kwamba kama simba ingefuzu kwa vyovyote vile ingekuwa juu ya yanga tena kama hizo timu zote mlizozitaja nazo zingefuzu basi yanga ingeangukia Pot 3 hukoNi kwasababu kuna timu zimeshindwa kufurukuta kuwepo kwenye ligi ya wanaume. Timu hizo ni Wydad, Zamalek, Simba, Berkane, Petro de Luanda.
Sasa ulivyokuwa wa ajabu unasema eti Simba hata ingukua klabu bingwa wangekuwa pot 1, ni assumption gani unayofanya kuona ni Simba pekee ndio wangekuwa na chance ya kuwepo klabu bingwa na kuacha waliopo juu ya Simba ambaye ni Zamalek na Berkane ambao nao ulipaswa kuwafanyia assumption kuwa nao wangekuwa klabu bingwa pia.
Yanga ingekuwa pot 3 si swala la ajabu, kuna timu sio maarufu kabisa katika mashindano ya CAF ila kakaa pot 3 kwenye kombe la shirikisho (ASC Jaaraf)ni kitu cha kawaida wala sio ajabu ila washamba na ugeni wa mambo unawafanya muone kuwa kwenye pot ya juu ndio mafanikio.Acheni kujizungusha wakati mmeielewa vizuri hoja ya huyo jamaa kwani haiwezekani simba kufuzu bila hizo timu nyingine kufuzu kwamba zinacheza ligi moja au, kama inawezekana basi ndio jamaa ameassume kwamba simba ingefuzu bila hizo timu nyingine kufuzu basi ingeangukia Pot 1, hoja ni kwamba kama simba ingefuzu kwa vyovyote vile ingekuwa juu ya yanga tena kama hizo timu zote mlizozitaja nazo zingefuzu basi yanga ingeangukia Pot 3 huko
Ukute hata hii hajaelewaunajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
Yanga msimu uliopita huko shirikisho alikuwa pot ipi?Pot 1 wa shirikisho ukimleta kwa wanaume anakweda pot 3
Na mwisho wa siku hakusherekea pot bali kucheza fainaliYanga msimu uliopita huko shirikisho alikuwa pot ipi?
Ongezea na Jwaneng Galaxy, Simba na Holoya 1ππHizo habari za Pot 1 wamejifanya kama hawajazisikia vileee.
Hersi lini ataitisha kikao cha vilabu tuone ukubwa wake, kama kikao hakijajaa vitimu vidogo kama Lipuli, Vital'O na Marumo.
tatito mnalazimisha jambo ambalo haliwezekani, kama wanaume mje sasa muwekwe hiyo pot1 sasa!Acheni kujizungusha wakati mmeielewa vizuri hoja ya huyo jamaa kwani haiwezekani simba kufuzu bila hizo timu nyingine kufuzu kwamba zinacheza ligi moja au, kama inawezekana basi ndio jamaa ameassume kwamba simba ingefuzu bila hizo timu nyingine kufuzu basi ingeangukia Pot 1, hoja ni kwamba kama simba ingefuzu kwa vyovyote vile ingekuwa juu ya yanga tena kama hizo timu zote mlizozitaja nazo zingefuzu basi yanga ingeangukia Pot 3 huko
NIMEANGALIA PROBABILITY(UWEZEKANO), SIMBA ANA NAFASI KUBWA YA KUCHEZA CLUB BINGWA KULIKO HAO WAPUUZI COZ SIMBA NI TOP TIER KWENYE LIGI YAKE. SIMBA MSIMU ULIOPITA KACHEZA CLUB BINGWA NIKUMBUSHE WEWE MARA YA MWISHO ZAMALEK,BERKANE NA USM ALGER KUCHEZA CLUB BINGWA NI LINI?Ni kwasababu kuna timu zimeshindwa kufurukuta kuwepo kwenye ligi ya wanaume. Timu hizo ni Wydad, Zamalek, Simba, Berkane, Petro de Luanda.
Sasa ulivyokuwa wa ajabu unasema eti Simba hata ingukua klabu bingwa wangekuwa pot 1, ni assumption gani unayofanya kuona ni Simba pekee ndio wangekuwa na chance ya kuwepo klabu bingwa na kuacha waliopo juu ya Simba ambaye ni Zamalek na Berkane ambao nao ulipaswa kuwafanyia assumption kuwa nao wangekuwa klabu bingwa pia.
Kuna wale malofa walivaa medali za kutishingisha maziwa na makalio wakaipeleka mpaka ikuluSimba ya mashindano ya akina mama
Rais wa Club na Clubππππ yaani Rais wa Club na club Rais wa Club awe mkubwa kuliko club?Unadhani kati ya rais wa Tff na club ni nani mkubwa?? Ukipata jibu basi unafuta hata thread