Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

medali unayojivunia ilikuwa ni ya kombe gani?
nimeandika poti la makande sio medali...km unataka kuzungumzia medali ndo ukae mbali kabisa huu mwaka pekee yanga wamevaa medali 4,simba 1,tena ya mshindi wa pil
 
Heshima inajengwa haiji hivi hivi. Simba wamejenga heshima ya Tanzania kwenye medani soka la vilabu Afrika.

Hata Rais wa Mashujaa Kigoma anaweza kugombea hiyo nafasi Kwa kutumiwa ushawishi wa mafanikio ya Simba
 
nimeandika poti la makande sio medali...km unataka kuzungumzia medali ndo ukae mbali kabisa huu mwaka pekee yanga wamevaa medali 4,simba 1,tena ya mshindi wa pil
hujajibu swali ulipocheza fainali na usm alger ukatiwa bao mbili moya kwa mkapa ukamaliza nafasi ya pili ulivaa medali ya kombe lipi? Na hiyo fainali ilikuwa ya kombe lipi?
 
mbumbumbu una uhakika hilo ndo swali ulilouliza?
 
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
kama simba angeshiriki CAFCL basi na hao berkane,wydad,zamalek wangeshiriki. je unafkiri simba angekuwa pot 1 kama unavyodai?kauli mbiu yako: #akili kisoda povu jingi#
 
tp mazembe wa 9 kawaje pot no.1? Hili mbona haujibu?
Ni kwasababu kuna timu zimeshindwa kufurukuta kuwepo kwenye ligi ya wanaume. Timu hizo ni Wydad, Zamalek, Simba, Berkane, Petro de Luanda.
Sasa ulivyokuwa wa ajabu unasema eti Simba hata ingukua klabu bingwa wangekuwa pot 1, ni assumption gani unayofanya kuona ni Simba pekee ndio wangekuwa na chance ya kuwepo klabu bingwa na kuacha waliopo juu ya Simba ambaye ni Zamalek na Berkane ambao nao ulipaswa kuwafanyia assumption kuwa nao wangekuwa klabu bingwa pia.
 
Acheni kujizungusha wakati mmeielewa vizuri hoja ya huyo jamaa kwani haiwezekani simba kufuzu bila hizo timu nyingine kufuzu kwamba zinacheza ligi moja au, kama inawezekana basi ndio jamaa ameassume kwamba simba ingefuzu bila hizo timu nyingine kufuzu basi ingeangukia Pot 1, hoja ni kwamba kama simba ingefuzu kwa vyovyote vile ingekuwa juu ya yanga tena kama hizo timu zote mlizozitaja nazo zingefuzu basi yanga ingeangukia Pot 3 huko
 
Yanga ingekuwa pot 3 si swala la ajabu, kuna timu sio maarufu kabisa katika mashindano ya CAF ila kakaa pot 3 kwenye kombe la shirikisho (ASC Jaaraf)ni kitu cha kawaida wala sio ajabu ila washamba na ugeni wa mambo unawafanya muone kuwa kwenye pot ya juu ndio mafanikio.
Sasa nyie mnalazimisha kuwa tufanye Simba iwe kwenye klabu bingwa halafu wakati huo huo hao Zamalek na Berkane hamtaki kuwafanya nao wapo kwenye klabu bingwa ina maana hamjui sababu iliyoifanya Simba isicheze klabu bingwa ndio sababu hizo hizo zilizoifanya Zamalek na Berkane zisiwe kwenye klabu bingwa? mnapofanya assumption muwe mnafanya kwa pande zote.
 
unajitoa ufahamu? TP MAZEMBE ni wa 9 na SIMBA ni wa 7 kwenye msimamo huyo MAZEMBE amewezaje kuwa pot no.1? NAKUFUNDISHA MPIRA BURE UKAWAFUNDISHE NA WENZIO IKO HIVI SIMBA NI WA 7 LAKINI TIMU 3 ZA JUU YA SIMBA AMBAZO NI WYDAD,ZAMALEK NA BERKANE HAWASHIRIKI CAF CHAMPIONS LEAGUE MAANA YAKE SIMBA ANGEFUZU ANGEKUWA WA 4 SO AUTOMATICALLY ANGEKUWA POTI NO.1 KAKOJOE UKALALE.
Ukute hata hii hajaelewa
 
Pot 1 shirikisho ndiyo UJINGA gani? Mbona Yanga pot 2 club bingwa hazungumziwi?
 
Hizo habari za Pot 1 wamejifanya kama hawajazisikia vileee.

Hersi lini ataitisha kikao cha vilabu tuone ukubwa wake, kama kikao hakijajaa vitimu vidogo kama Lipuli, Vital'O na Marumo.
Ongezea na Jwaneng Galaxy, Simba na Holoya 1😂😂
 
Acheni kujizungusha wakati mmeielewa vizuri hoja ya huyo jamaa kwani haiwezekani simba kufuzu bila hizo timu nyingine kufuzu kwamba zinacheza ligi moja au, kama inawezekana basi ndio jamaa ameassume kwamba simba ingefuzu bila hizo timu nyingine kufuzu basi ingeangukia Pot 1, hoja ni kwamba kama simba ingefuzu kwa vyovyote vile ingekuwa juu ya yanga tena kama hizo timu zote mlizozitaja nazo zingefuzu basi yanga ingeangukia Pot 3 huko
tatito mnalazimisha jambo ambalo haliwezekani, kama wanaume mje sasa muwekwe hiyo pot1 sasa!
 
Ni kwasababu kuna timu zimeshindwa kufurukuta kuwepo kwenye ligi ya wanaume. Timu hizo ni Wydad, Zamalek, Simba, Berkane, Petro de Luanda.
Sasa ulivyokuwa wa ajabu unasema eti Simba hata ingukua klabu bingwa wangekuwa pot 1, ni assumption gani unayofanya kuona ni Simba pekee ndio wangekuwa na chance ya kuwepo klabu bingwa na kuacha waliopo juu ya Simba ambaye ni Zamalek na Berkane ambao nao ulipaswa kuwafanyia assumption kuwa nao wangekuwa klabu bingwa pia.
NIMEANGALIA PROBABILITY(UWEZEKANO), SIMBA ANA NAFASI KUBWA YA KUCHEZA CLUB BINGWA KULIKO HAO WAPUUZI COZ SIMBA NI TOP TIER KWENYE LIGI YAKE. SIMBA MSIMU ULIOPITA KACHEZA CLUB BINGWA NIKUMBUSHE WEWE MARA YA MWISHO ZAMALEK,BERKANE NA USM ALGER KUCHEZA CLUB BINGWA NI LINI?
 
Unadhani kati ya rais wa Tff na club ni nani mkubwa?? Ukipata jibu basi unafuta hata thread
Rais wa Club na Club😀😄😆😃 yaani Rais wa Club na club Rais wa Club awe mkubwa kuliko club?

Hili nalo ni la kujadiliwa na Mzee Jakaya na Sunday Manara?
 
Back
Top Bottom