- Thread starter
- #281
Hapa tunalinganisha graduate anaeanza kazi anaanza na ngapi?Aisee mbona mmeng'ang'ania hao makuruta na maprivate tu kwani Jeshi linacomprise hao tu mzee
Ukilinganisha maafsa hata huku kwenye hizo taasisi kuna wakuu wa idara na vitengo tuwalinganishe wenyewe kwa wenyewe. By the way sijawahi kusikia rais akilalamikia salary za jwtz kuwa ni kubwa ila TMA na TRA ameshawahi kuzigusia