ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Hivi hizi taasisi hazina ajira za mikataba? Au mpaka zipitie Utumishi
Kuna sehemu nataka niforce king
Kuna sehemu nataka niforce king
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni kupata kazi hizo sehemu
Sekta unamaanisha nini?Kwa wale wataalamu wa IT je sekta gani inafaa?
Ajira za mkataba zipoHivi hizi taasisi hazina ajira za mikataba? Au mpaka zipitie Utumishi
Kuna sehemu nataka niforce king
Sasa taasisi gani inalipa vizuri watu wa ITSekta unamaanisha nini?
Hizo taasisi zote zina watu wa IT.
Za mikataba nazo wanalamba parefu? Au ni kawaida tuAjira za mkataba zipo
Za mikataba nazo wanalamba parefu? Au ni kawaida tu
Hizo taasisi hazina nyakati mkuu ni kiyoyozi tuInategemea na nyakati
TCRA, NIMR, TRA ........Sasa taasisi gani inalipa vizuri watu wa IT
BungeniKati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.
2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.
3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.
4. TPA
Tanzania Port Authority.
5. TRA
Tanzania Revenue Authority.
6. TANAPA
Tanzania National Park
Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Tpdc wakoje mshahara wao na maslahi yao? Kwa engineerAchana kabisa na TPDC hatari sana ushahidi ninao...