Hapa tunalinganisha graduate anaeanza kazi anaanza na ngapi?Aisee mbona mmeng'ang'ania hao makuruta na maprivate tu kwani Jeshi linacomprise hao tu mzee
Zipo. Kuna Taasisi Baadhi ya Mali zao zinalindwa na Walinzi walioajiriwa na Taasisi..Hivi kuna taasisi ya serikali inayoajiri walinzi au wafanya usafi kwa miaka hii sio kwamba wana outsource
Jeshi haliwezi kulalamikiwa hata lifanye nini sababu jeshi ndiyo nchi mkuu! Kuna mambo mengi tu ambayo jeshi linafanya na hautasikia likilalamikiwa popote lakini hayo hayo mambo yakifanywa na taasisi nyingine zitalalamikiwa!Hapa tunalinganisha graduate anaeanza kazi anaanza na ngapi?
Ukilinganisha maafsa hata huku kwenye hizo taasisi kuna wakuu wa idara na vitengo tuwalinganishe wenyewe kwa wenyewe. By the way sijawahi kusikia rais akilalamikia salary za jwtz kuwa ni kubwa ila TMA na TRA ameshawahi kuzigusia
Hivi mkuu unafikiri askari wanaishi mbinguni?Jeshi haliwezi kulalamikiwa hata lifanye nini sababu jeshi ndiyo nchi mkuu! Kuna mambo mengi tu ambayo jeshi linafanya na hautasikia likilalamikiwa popote lakini hayo hayo mambo yakifanywa na taasisi nyingine zitalalamikiwa!
Uzuri ni kwamba jeshi huwa halidisclose kila kitu kuhusiana na majukumu yao au malipo yao! So inawezakana unachoambiwa ni robo tu ya uhalisia uliopo au inawezekana ikawa uongo kabisa maana hapa kila mtu huongea lake!
Aiseee kwamba mtu akiwa ndugu yako au nani yako ndiyo lazima akutajie mshahara wake wote kwa asilimia zote? Binafsi hata mimi naishi na hao watu lakini trust me hawawezi kukuambia wanalipwaje exactly huwa wanapunguza!Hivi mkuu unafikiri askari wanaishi mbinguni?
Tunao huku mtaani kaka zetu, baba zetu, classmate wengine hata mademu zetu ni askari. Hakuna siri kwenye maslahi yao.
Labda siri kwenye dili nyingine za 10% kwenye manunuzi ya silaha na vifaa
[emoji16][emoji16][emoji16]aaarooioo unaleta mchezo na jiweMbona walimu na polisi umewaruka?
2.5mil atleastKwako scale inayotisha inaanzia Ngapi kwani
Professional allowenceHii P.A maana yake nini?
Hii nazani ni kwa Tz pekee, siasa inaharibu sana uhalisia. Mi hata wabunge kulipwa mil 12 sikubaliani nalo japo sina nguvu ya kubadilisha.Hoja yao ni kuwa hao wanaingiza pesa serikalini wakati madaktari na walimu wanatumia pesa zilizotengenezwa na wengine
Watu hawajui tu,kule CWT ni hatari kwa waajiriwa. Kwa mwezi wanakusanya Bilion tatu na ushee. Mshaara wa mfanyakazi wa chini ambaye ni secretary mwalimu wa anayeanza na degree haoni ndani na bado analipwa hadi pesa za pango na chai.Watu wataichukulia hii kauli yako kiutani ila watumishi waajiriwa wa CWT wako vizuri mno kila kitu wanajipangia makusanyo ya CWT kwa mwezi ni makubwa mno. Kwanza madaraja wanajipandisha kila baada ya miaka miwili na hakuna longolongo.
Huyo yupo muda mrefu kazini. Mishaara yao huwa ni wiki moja tu ishakata. Kidgo kwenye utawala huu wameboreshewa hasa walipoanza kuwekewa na vinywaji.Naona wengi humu mnaidharau jwtz,kuna jamaa yangu ni sgt anakunja 2.8m mshahara kila mwezi,kule kuna allowance ya chakula,maji,umeme,nyumba,fani anayofanyia kazi,na kama ni graduate nayo ina allowance yake.
Huko kwa wabunge usiguseHii nazani ni kwa Tz pekee, siasa inaharibu sana uhalisia. Mi hata wabunge kulipwa mil 12 sikubaliani nalo japo sina nguvu ya kubadilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahCWT nao ni noma aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema yote lakini wanao piga pesa nyingi ni wanao fanya kazi ofisi ya Rais
Mpiga picha tuu, kwa mwezi anatoka na net above 10M.
Bado mzee akienda chato kwa miezi 2, [emoji1]
hao wengine wote ni wakurugenzi wa mashirika tu mshahara wao hauzidi milioni 15 kiboko ni mzee wa BOT tu anakunja 40 milioni na marupulupu ya kila aina kifupi anaishi peponi akiwa dunianiKati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.
2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.
3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.
4. TPA
Tanzania Port Authority.
5. TRA
Tanzania Revenue Authority.
6. TANAPA
Tanzania National Park
Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
wote hao mshahara milioni 15 jiwe kawa fix enzi za jk ndio walikua hawakamatikiVipi kuhusu.
TCRA,TBS,MSD,TMDA,NEMC,STAMICO?
#MaendeleoHayanaChama
Ukitata LATRA unaniumiza moyoVipi hawa LATRA na TRC?
Kwanini mkuu?Ukitata LATRA unaniumiza moyo