Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Hivi hizi taasisi hazina ajira za mikataba? Au mpaka zipitie Utumishi

Kuna sehemu nataka niforce king
 
NAO - kwa mkaguzi mkuu mshahara wa kawaida ila safari za kumwagaa..
 
Bank kuu hamna kitu mimi nina jamaa zangu tumepiga nao chuo walipata shavu BoT mika mitatu sasa mshahara ni ule ule M1.3 kitu pekee waliyopata ni furusa ya kukopa M100 ambapo u alipa kidogo kidogo ..yale mavazi yap yasikutishe mkuu ..mishahara yao ni ya mbuzi tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
dah sema watu tumetofautiana aisee .. yani mtu anakwambia mshahara 1.3m ni mbuzi wakati mimi nipo huku halmashauri na-survive kwa posho tu hata mshahara sina dah 😪
 
Bungeni
 
kuna jamaa yangu mkurugenzi alitumbuliwa na kwenda TANROAD kama afisa wa kawaida, mpaka leo anajilaumu alichelewa wapi, can you imagine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…