Kati ya hii miji, upi ni mzuri kwa mtoko?

Kati ya hii miji, upi ni mzuri kwa mtoko?

🎼Mwanza ooh mwanzaaa...
🎵 Mwanza nitarudi tenaa...

🎵 Mwanza mji mzurii ooh...
-----------------------

➿Orchestral Matimila voice.
 
🎼Mwanza ooh mwanzaaa...
🎵 Mwanza nitarudi tenaa...

🎵 Mwanza mji mzurii ooh...
-----------------------

➿Orchestral Matimila voice.
Inawezekana alikutana na pisi kali huko
 
Dodoma kuna wale masela mavi wa pale mjengoni wanaongozwa na yule dada wa Mbeya watakupora kidemu chako asubuhi tu kabla masiha hajapaa kwa mshua wake.
 
Nenda Mwanza, utaenjoy beach, mandhari nzuri ya mji....Kahama mbanano tu kamji kadogo....hamna view ya maji.
Dodoma sijawahi kupaelewa.
 
Back
Top Bottom