Kati ya hii miji, upi ni mzuri kwa mtoko?

Kati ya hii miji, upi ni mzuri kwa mtoko?

Wakuu mambo vipi?

Kutokana na leo kujihisi kuchoka choka, inabidi nijaribu kutafuta kiwanja kizuri angalau siku ya kesho nami niweze kufufuka na bwana.

Nauliza kati ya hii miji; Dodoma, Mwanza au Kahama; wapi ni kuzuri kwa mapumziko ya siku mbili.

Nataka nimpeleke huyu bi mdogo, angalau aoshe oshe macho kidogo.
The Rock City 🏙️🌆 mwanza nyumbani..🤓

Muda mrefu sana now sijakanyaga hiyo ardhi....
 
Back
Top Bottom