ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari.
Sasa kwa kucheki ni collection ipi Ina nyimbo kali tunaweza jua nani alikuwa anapendwa zaidi akatungiwa nyimbo kali za hisia na zilizohit, hizi hapa.
1.Zari Diamond songs
A. Utanipenda
B. Sikomi
C.Niache
D. The One
E. Baila
2. Wema Diamond Song
A. Nalia na Mengi
B. Ukimwona
C. Nataka Kulewa
D. Mapenzi Basi
E. Lala Salama
Collection ipi Ina mawe hatari, na je, unahisi nani alitungiwa nyimbo kali, je ndo alipendwa zaidi.
Tanasha sijui ndo ametungiwa kanyaga, makonda nikae kimya