Kati ya hizo gari Mark x au toyota crown , ipi rahisi kumudu njia zote

Kati ya hizo gari Mark x au toyota crown , ipi rahisi kumudu njia zote

Naona umemaliza speed mkuu,
Umenikumbusha mbali asee...
Hatari sikushauri ujaribu labda kama una test tu,ila mwendo mzuri wa haraka mwisho wangu ni 120kph nikiwa na gari nzuri,ila kama sio zuri mwisho ni 90-100kph.
 
Hahah umepatia mkuu kula like kwanza!
Out of topic;kale kanamba mbna hujanipa mzeebaba
hahaha nishatembea barabara za lami tz nzima mkuu maeneo mengi nayajua.......kale ka namba mtoto kachomoa [emoji23] [emoji23]
 
Heee huu mshale ulivyolala past 180 dahh

kuna kaka mmoja nae analazaga mshale hivo afu mama ake ndo anapiga picha sa sijui ndo wewe😅
Haaaah miss temptation huyo sio mmwala bi mkubwa wangu ni picha tu lady in red
 
Toyota crown ni bora na nzuri na luxury kuliko mark x kwa mtazamo wang
 
Tatizo ya haya magari hua yapo chini sana mengi hua yana coilovers
 
Ndio uzuri wa natural aspirated engine....BMW lazma iguse red
Mkuu, kwa hakika wewe una ugomvi binafsi na magari ya wazungu.

Kwa asilimia 90 nimeona una mtazamo hasi kuhusu magari ya wazungu.
 
Back
Top Bottom