Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hiyo dampo lako la Ilala linaizidi kitu gani Nyamagana?Hawana kazi ya kufanya kufananisha vitu ambavyo
Sio sawa. Yani Ilala ufananishe na takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo dampo lako la Ilala linaizidi kitu gani Nyamagana?Hawana kazi ya kufanya kufananisha vitu ambavyo
Sio sawa. Yani Ilala ufananishe na takataka
Kuelimisha mtu hakuhitaji kutoa kauli chafu mkuu jitahidi kutumia kauli nzur itakusaidi Kama ndo balehe hzo jaribu kuzikontrol huna haha ya kutoa kauli chafu ili uonekane umeongea pointNyamagana Kuna msikiti mkubwa Africa mzima
Hapo dar mna nini kazi kupakuana marinda tu huku mkisalimiana salamaleko kumbe watenda zambi wakubwa
Ukiona sehemu kuu a dampo kubwa ujue hata uzalishaji NI mkubwa sawaHiyo dampo lako la Ilala linaizidi kitu gani Nyamagana?
Mapato yapi ya halmashauri, au tax levy, au uchumi mzima wa ilala vs Nyamagana interms of GDP?Jaribu kutafuta Pato la mwaka la ilala na Pato la mwaka la mwanza tuanzie hapo kwanza
Mamlaka za halmashauri nne zikiwemo tatu za Mkoa wa Dar es Salaam, zimeibuka kidedea katika wingi wa ukusanyaji mapato kwenye makundi yote ya miji, manispaa na majiji nchini-Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amesema wakati akitangaza makusanyo ya halmashauri kwa mwaka wa fedha 2017/18.Mapato yapi ya halmashauri, au tax levy, au uchumi mzima wa ilala vs Nyamagana interms of GDP?
Ni kijiji kama kilivyo kitongoji cha Ilala.Nyamagama ndo Kijiji gani?
Ilala ipo mbele zaidi ya Nyamagana kwa kua ipo karibu na feri na airport so safari zake kwenda Zanzibar na ulaya ni rahisi kuliko Nyamagana iliyo km nyingi huko usukumaniHabari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Utakuwa mshamba sana kijana/mzee.Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia kitu gani wenzetu maana unalinganisha messi na kibuHabari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Msikiti upi chief?Nyamagana Kuna msikiti mkubwa Africa mzima
Hapo dar mna nini kazi kupakuana marinda tu huku mkisalimiana salamaleko kumbe watenda zambi wakubwa
Nilikuwa nampiga changalamoto tu huyo bibieMsikiti upi chief?
Tena takataka Moja ndogo tuHawana kazi ya kufanya kufananisha vitu ambavyo
Sio sawa. Yani Ilala ufananishe na takataka
Unasemaa?!?YANGWA BINGWA.