Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

Ila wasukuma 🤣🤣🤣Ilala Kuna soko la kariakoo na airport
Nyamagana Kuna nini
Kariakoo ni soko au takataka watu wanapanga bidhaa hadi barabarani maujinga gani hayo.me kariakoo siendagi maana watu kama sisimizi full kubanana na kupeana majasho tu.kiufupi ilemela iko poa kuliko ilala ya makobazi
 
Kariakoo ni soko au takataka watu wanapanga bidhaa hadi barabarani maujinga gani hayo.me kariakoo siendagi maana watu kama sisimizi full kubanana na kupeana majasho tu.kiufupi ilemela iko poa kuliko ilala ya makobazi
Tunaongelea mapato boss wangu
Hayo mengine tuachie
 
Ila kwa kweli uwezo wa watanzania wengi kufikiri ni mdogo mnoooo mpk nipo nalia badala ya kuangalia jinsi gani ya kuboresha maisha yako unavailable kulianganisha maendeleo ya wilaya?
 
kazi ipo kwakweli ilala kabla serikali haijahamia dodoma...... Mambo yote yalikuwa ilala ........ Plus center za biashara, miundo mbinu......
 
Huu utoto, sasa Mwanza ipi ifanane na Dar?
wasukuma wa hovyo niseme hivyo....

kipindi naanza advance nakuta wanabishana kati ya rock city mall na mlimani city ipi kubwa?

Daraja la manzese na lile la furahisha (kama sikosei)

Nikabaki nafurahi tuu watu wakilumbana
 
Tukisema wasukuma kukaa sana na ng'ombe imesababisha akili zenu zimefanana na za ng'ombe mnabisha ona sasa
 
dah mbavu kwisha, unawezaje ilinganisha banana, stakishari, ukonga, mombasa, ilala, tabata, kinyerezi kwa nyamagana hyo yaani mkolani, buguku,nyashishi, buhongwa, luchelele, ngaza busisi, nyegezi, malimbe n.k?

Ilala imemega eneo la k/koo uwe na akili siku ingine ni ka vile kinondoni na TMK pia zimemega sehemu ya k/koo nazungumzia mapato pia

Tuna uwanja wa ndege wa kimataifa pale Kipawa, tuna fly over zaidi tuna machinjio vingunguti, mnada pale ilala boma kila siku, karume viatu mtumba ushindwe wewe tu kha we huogopi!!?

Huduma za kijamii ni burudani japo changamoto wana daresalama ni wengi mno.

Ilala oyee ukonga juu!! Yaani tuna magereza pale watu wananyea ndoo sio poa, kwa zumaridi mkolani wanakata mauno kwenye nyumba na viwanja vyake

Bila kusahau ofisi za SIDO, tuna bakhresa pale Tazara, na zaidi linapokuja suala la bale za mitumba nyingi ni ilala na m/mmoja machimbo ka yote pesa ako tu kupata ridhiki la kila siku
 
Back
Top Bottom