self made
New Member
- Apr 1, 2017
- 4
- 6
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo,
ASANTENI