Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #41
Kumbe tupo pamoja Bruno Fernandez ni jiniii [emoji23][emoji23][emoji23]Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
naunga mkono HOJALevel moja ila bahati mbaya bruno ameikuta manchester united kwenye kipindi kigumu
hasira za nni chomoa ado ado kijana mbona unafoka sanaBruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla
KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa
Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca
Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka
Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
Ukitoka kuharisha njoo uchangieKDB analinganishwa Odegard
Bruno ni mchezaji wa kawaida kama chama vile
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Hii ni sehemu sahihi ya kuwatambua mashabiki mchuzi wa juzijuzi wa Arsenal na Chelsea.Tulia uone maajabu nabii@MpwayunguvillageOya usimchulie poa Bruno Fernandez ujue
Ila unakubali kuwa nizaidi ya Kelvin de BruneTatizo la Bruno ni kuchezea United tu....
Kama ilivyokua kwa Mayele kuchezea Yangaa...
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Naunga mkono hoja,na hana kuremba remba mwandiko show show mwanzo mwishoWote ni wachezaji wazuri mno.
Ila kwa Upande wangu nitampendelea zaidi KDB.
KWANGU ANANIVUTIA ZAIDI.
1 .NGUVU.
2. Passing.
3. AKILI.
4. Mashuti (shooting).
Ni goal Getter mzuri zaidi.
KWANGU KDB AMEKAMILIKA ZAIDI.
Shemeji,hizi ndo mada za kiume za kuleta humu,siyo zile mada zako za like kike na za kidwanziIla unakubali kuwa nizaidi ya Kelvin de Brune
Bruno,nyoro nyoro sana yule,mtoto mayai yai sana,full kujiangusha angushaAcha kimfananisha KDB na vitu vya kipumbavu.
Chama cha Walimu wanakutegemea
Kwahiyo pep alimsajili KDB toka Chelsea?Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Huyo kaanza shabikia soka juziKwahiyo pep alimsajili KDB toka Chelsea?
Angalia Tena ulichokula mkuu.Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi