Kati ya Kelvin de Bruyne na Bruno Fernandez nani bora kwenye soka?

Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Kumbe tupo pamoja Bruno Fernandez ni jiniii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla

KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa

Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca

Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka

Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
hasira za nni chomoa ado ado kijana mbona unafoka sana
 
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki

Wewe mpira hujui, wewe na mwenzako wote mmeanza kushabikia mpira juzi . KDB hakununuliwa na pep bali pellegrini au pellegrini ana upara siku hizi? Pia KDB kipindi kile alinunuliwa kwa dau kubwa kabisa mpaka media zikawa zinashangaa.
KDB na bruno hawafanani hata kidogo ni mjinga tu anaweza kumfananisha de bryune na bruno.
 
KDB ni kiungo bora toka akiwa ujerumani wewe utakuwa mpambavu sio mwanamichezo
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
 
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Kwahiyo pep alimsajili KDB toka Chelsea?
 
Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United

Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
Angalia Tena ulichokula mkuu.

Hauko sawa , kimeathiri Hadi ubongo.
 
Back
Top Bottom