Kati ya Kelvin de Bruyne na Bruno Fernandez nani bora kwenye soka?

KDB alinunuliwa toka wolfsburg akiwa wa moto

Fuatilia, Chelsea ile angepata vip namba mbele ya Frank lampard?
 
Namkubali bruno fernandes

Most chances created kaongoza last season
What does it mean you think?

It means alitengeneza most likely to be an assist ila kutokana na ubovu wa watu wa mbele hawakufunga
Wout weghorst na martial huwezi fananisha na haaland hata kidogo
Bruno anafunga na anatoa assists
 
Usimfananishe Bruno na takataka zenu hapo city

Bruno amecheza na wout weghorst sawa

Halafu huyo debruyne kuwa wolfsburg haina maana kwenye huu mjadala
Maana hata bruno wa sporting alikua balaa
 
Usimfananishe Bruno na takataka zenu hapo city

Bruno amecheza na wout weghorst sawa

Halafu huyo debruyne kuwa wolfsburg haina maana kwenye huu mjadala
Maana hata bruno wa sporting alikua balaa
Nyumbu pale mchezaji ni mmoja tuu Casemiro, wengine wote ni takataka wakianza na bruno fernandez
 
Mimi shabiki wa man u lakini usimfananishe KDB na kikaragosi much know kile

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bruno ujuaji mwingi hana nidhamu uwanjani,anapenda kudanganya marefa


Poor attitude [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…