kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
[emoji3][emoji3] umetisha mkuuEnglish of course,Kisha Arab then Spanish,halafu sukuma[emoji23][emoji23]
Lakini naona Kama kiarabu kinatumika na nchi nyingi Sana karibia mabara yote dunianiHuko uarabuni kwenyewe sehem kubwa hasa mjini wanakichapa kiingereza.
Asante mkuuEnglish is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
Hata Ulaya ,(Uturuki Baba Lao, wahamiaji kule Ufaransa na ujerumani) Inshallah baada ya muda tutakuwa na kizazi chenyewe hamunya kujifunza kiarabu ULAYALakini naona Kama kiarabu kinatumika na nchi nyingi Sana karibia mabara yote duniani
Mf. Sehemu kubwa za Asia na africa
[emoji23][emoji23][emoji23] braza unatafuta mengine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna muhuni 1 alioa binti wa miaka 6 akampiga mashine akiwa na miaka 9. Huyo muhuni alikuwa mwarabu[emoji23][emoji23][emoji23] nani anaweza kunitajia jina lake? Ni marehemu na ana wafuasi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] nilijua tuu siasa itakuepo kwenye huu Uzi.Aisee English tam sana ila uijui usipoijua unamchukia mzungumzaji kama ccm wanavofanya
English is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
Kwanini ni muhimu "sana" kujifunza kiarabu?Kujitunza kiarabu Ni muhimu Sana
Alimaanisha unapata msaada mapema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii tabia ya kuunganisha Kiswahili na kiingereza ni mbaya sana..... Yaani ukiitafsiri sentence unajua kabisa sentence haina maana ila ukiisoma inaleta mvuto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo nyosoMkuu unasema kwamba kama utaongea kiingereza utapata nini haraka??
assistantance??!!!
Hahahaaa,,, mkuu Mimi niliamua kuchomekea tu! BTW nilimuelewa mchangiajiAlimaanisha unapata msaada mapema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii tabia ya kuunganisha Kiswahili na kiingereza ni mbaya sana..... Yaani ukiitafsiri sentence unajua kabisa sentence haina maana ila ukiisoma inaleta mvuto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo nyoso
Lakini naona Kama kiarabu kinatumika na nchi nyingi Sana karibia mabara yote duniani
Mf. Sehemu kubwa za Asia na africa
[emoji23][emoji23][emoji23] braza unatafuta mengine.