Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Nyie mnajua lugha maharufu ni za wakoloni tu, check ni hizi zingine hujawahi hata kuzifikiri
Screenshot_20200528-094413.jpeg
 
Ni
Ni muhimu kujifunza kiarabu kwa kuwa kinanyosha lafudhi yako mtu yeyote anajua kiarabu Yuko vizuri Sana kwenye kiswahili na kwenye kiingereza an anaongea lafudhi tamu
Kwenye kingereza waarabu hawaongei lafudhi tamu kama Wabongo lakini.

Asante sana.
 
Sijui ulitaka uandike nini, ila hakuna neno hilo katika lugha yetu ya Kiswahili.

Nilisahau kuja PM niwie radhi.
Kuna sababu "nimepewa" ni umoja.
Sababu zikiwa mbili au zaidi ni "nimezipewa" hapo "zi" ni wingi. Au naongea kilugha?
 
Back
Top Bottom