Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Spanish Inaongelewa almost Latin yote labda Brazil PEKEE.
English yaongelewa Dunia nzima. Hata French speaking countries nazo wameanza kuhamia kwa English
Arabs Inaongelewa uarabuni tu labda few waliohamia ulaya. Huku Africa labda juu pale North.
Iran Wana lugha yao wale unajua si wajua ni waajemi. sio all the time wanaongea kiarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
English is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
Morocco na Tunis, walipotoka waaay back wakaingia kwenye mifumo ya Kifaransa sasa hivi wanahaha kuwafunza watoto wao English.
.
Ila kuna baadhi ya maarabu Canada ni mash*nzi hayajui kifaransa wala English, I've been in Los Angeles kuna Hispanic wengi ila wanaongea both languages
 
Hivi ni kweli lugha ya wamakonde chale ndio kihispaniola? Mjuzi anijuze
 
Lakini naona Kama kiarabu kinatumika na nchi nyingi Sana karibia mabara yote duniani
Mf. Sehemu kubwa za Asia na africa

Maelezo ni ipi Lugha inaongelewa na watu wengi SIO Nchi nyingi elewa Swali
 
English is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
Ubest wa lugha unaangaliwa kwa wingi wa uzungumzwaji wa watu au kwa ubora wa lugha ? Ila kama kwa wingi hapo sawa ila kwa ubora wa lugha, aisee hakuna lugha bora hapa duniani na kamili kielimu kuzidi lugha ya KIARABU, kuanzia kihistoria,udhibiti,na fani zake, yaani hakuna.
 
nadhani ni kweli, nchi nyingi zinatumia kiarabu natively and officially.

Kiingereza kinatumiwa nchi tano tu, UK, USA, Canada, Australia and New Zealand.

Umekunywa viroba gani wewe unazani Irani wanaongea Kiaarabu Oman Jordan na Nchi nyingi
 
Back
Top Bottom