Ngoja waarabu warudi kutawala dunia kwa mara nyingine sijui hawa wagalatia watakimbilia kwa nani, na wakati huo mabeberu/Magaidi yatakuwa chini ya waarabu hawafurukuti [emoji16][emoji16][emoji16]
Bwashee Uislamu na Mungu ni wapi na wapi.!
Pumzi inakuhadaa mpaka imefikia unamkashifu aliekuumba na kuukashifu uislamu.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.
Kuwa makini sana na kauli zako!
Labda wakatawale kuzim ila sio dunia hii.
Hakuna umhimu wowote mkuu, acha kupoteza muda bora jifunze kiingereza tu utaheshimika na watu
Huyo mama ni mtag kwa sababu kila kitu yeye hukitazama kwa Jicho la dini kuna yule Mohamed nani sijui wa jukwaa la history kule nae ni extremist na Close minded balaa hata faiza naona hamkuti
Hivi kwa Nini Waislam mnasema Uislam hauna uhusiano na Uarabu Ila mnaumia sana wakiguswa Waarabu?
Mimi ni muislamu tena wa kweli ila kwa kweli mila nyingi za waarabu zimenishinda tena sana waarabu wa Saudi na Yemeni. Omani ni nyumbani tu....kama vile upo Magomeni. Yemen inategemea sehemu.
Niko mwafilombe huku nanjilinji...sijawahi sikia azana