Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Morocco na Tunis, walipotoka waaay back wakaingia kwenye mifumo ya Kifaransa sasa hivi wanahaha kuwafunza watoto wao English.
.
Ila kuna baadhi ya maarabu Canada ni mash*nzi hayajui kifaransa wala English, I've been in Los Angeles kuna Hispanic wengi ila wanaongea both languages
Wenzio wakisema "Maafrika ni mashenzi utapendezewa? Ubaguzi tunauleta wenyewe halafu tunawasingizia wao.

Kuwa na hekma japo kidogo!
 
Kiarabu ndio lugha bora, na inapendwa sana na hata wasio waislamu hujifunza lugha hiyo. Kiarabu ni lugha ya kistaarabu, maneno yake matamu kuliko lugha yoyote, muda wote unatamani kumsikiliza mzungumzaji. Refer Aljazeera, Oman tv, Al arabiyyah n.k.
 
Hapo Lugha inayozungumzwa na watu wengi dunian ni KISPANYOLA

Ila kiingereza ndio kinazungumzwa na mataifa mweng zaidi.
 
Basi kumbe siyo "muhimu sana" kama hauna mipango hiyo hapo.

Unapoteza muda wako bure kumjibu huyo anaeabudu sanamu la ukutani lisilokuwa na nguo badala ya kumuabudu Mungu wa kweli aliemuumba, so acha kumjibu utajishushia heshima yako dada.
 
Hamuwezi kuchangia bila kuingiza udini, acha wazungu waendelee kuwanyoosha hao black lives na kutuita manyani, ndicho mnachopenda.
Umuhimu nimeichukulia kwenye angle ya dini sawa mbona wewe unajua kabisa utaulizwa maswali kwa kiarabu na unatakiwa ujibu kiarabu hata kwa kukariri ukiwa kaburini.
 
Kinachojadiliwa kingine na wewe unatuletea habari nyingine.. anzisha na wewe uzi wako wadau wajadili hicho ulichokiuliza, au roho imeuma kusikia kiarabu ukitoa kiingereza ni lugha inayozungumzwa sana duniani?


Jamaa anachuki sana na nchi za kiislamu. Mwarabu hata afanye jema gani watamchukia tu, ndivyo walivyo wagalatia.
 
Kiarabu ndio lugha kubwa duniani inazungumzwa na nchi nyingi pia quraan ni kitabu kimeandikwa kwa kiarabu kinasomwa ulimwengu mzima

Ngoja waarabu warudi kutawala dunia kwa mara nyingine sijui hawa wagalatia watakimbilia kwa nani, na wakati huo mabeberu/Magaidi yatakuwa chini ya waarabu hawafurukuti 😁😁😁
 
Hivi unajua kiarabu ni kilugha mkuu, yaani tuache kuzungumza lugha ya malaika, kiingereza tuanze kuharibu ndimi zetu sisi. Kiingereza tu ndio lugha ya dunia kisha kinafuata kiswahili ndio lugha zinazovutia dunia
Malaika eti, mzungu amekuwa malaika tena! Nyie watu mnakufuru sana. Na watawauwa sana hao mabeberu mpaka akili ziwarudi.

Mtu anakuita wewe nyani usie na thamani kwao

Anakutupia miganda ya ndizi kwa maana wewe ni Nyani

Ishara zote za ubaguzi unapewa wewe

Black wanauliwa

Yote hayo lakini bado mtawaramba matakoni tu, huku mkiendelea kuwasema vibaya waarabu na kuukashifu uislamu. Viumbe wa ajabu sana nyie sijapata kuona tokea nizaliwe 😁😁😁
 
Na hapo hapo mzungu anamtambua yeye ni sokwe asie na thamani kwao, acha tu aendelee kuukashifu uislamu, Mungu hadhihakiwi hata kidogo atakipata tu akitakacho

Bwashee Uislamu na Mungu ni wapi na wapi.!

Kiarabu ni utamaduni na lugha, wala hakihusiani na huo unaouita uislamu.... amka mtumwa wa fikra.
 
Ngoja waarabu warudi kutawala dunia kwa mara nyingine sijui hawa wagalatia watakimbilia kwa nani, na wakati huo mabeberu/Magaidi yatakuwa chini ya waarabu hawafurukuti [emoji16][emoji16][emoji16]
Labda wakatawale kuzim ila sio dunia hii.
 
Kama lugha ya kwanza ni Spanish....
Kama lugha ya pili ni English!
Sijui hata kama umenielewa.
Mi mpaka leo huwa najiuliza bila majibu Waspanishi waliwezaje kuteka bara zima la America kusini na kaskazini na kueneza lugha yao isipokuwa Brazil
 
Back
Top Bottom