Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Hahaha... acha blaablaa mwanangu.. inatosha kusikia adhana.. "Allahu Akbar Allahu Akbar" kote duniani mara tano kwa KIARABU kila siku... pembe zote East-West, North-South
Nasema nami ni muumini na kujiamini hakuna hiyana hapo!!
Wote (wachina wako na mataifa yote) mnaisikia na walaa hamtaweza au kuthubutu...mwee!!
This is Arabic the connection of humanity....
Welcom baby nikulishe tende!!
Ahahahaha! America kuna majimbo hayaruhusu kabisa hizo adhana.
.
Kwa hiyo kumbe ndio maana majamaa yalizuia kutafsiri Koran kwenda lugha ingine ili ya-promote lugha yao pamoja na utamaduni wao?
.
Arabs hawa wanaojilipua kila kukicha, wakienda kwenye mataifa ya watu wanajazana ili wafanye invasion za kidini ndio wana ubinadamu? Kwa akili hizi wataendelea lini

Tende walishe wagonokaji wa masjid taufiq
 
Labda sijaelewa Ni uzungumzaji upi unaoongelewa,nijuavyo hata Hapa bongo kiarabu kinaongelewa na watu karibu milioni 30,😁😁
Kwa takwimu za nani au wapi? Tanzania sijawahi kukutana na mtanzania anayezungumza kiarabu hata mmoja!
.
Kama unazungumzia dini, ni waislamu wachache sana kutoka Tanzania pengine 0.099% ndio wanauwezo wakuzungumza kiarabu!
Huwezi kutumia kiarabu cha Koran kuongea na watu mathalani "Tanzania ni nzuri" utachukua maneno kwenye koran uunge unge?
.
Tanzania ina Wakatoliki na Walutheri zaidi ya 20 million kwa takwimu za 2018! Hapo hujataja madhehebu mengine
 
Nikakuuliza,kwanini ufeel safe,kumbe unasema wako Western,ngoja nikwambie Qatar na Abudhabi hawako Western,Sana Sana Kuna wageni wengi kutoka west,walioenda kutafuta maisha,,wenyeji hawako westernized kuwazidi wananchi wa Syria,Iraq,
Kidogo labda ungesema oman pako safe Sana,
Wewe jamaa unaumwa akili au uelewa au tatizo ni umuhamadi?

i can't feel safe in Qatar, Oman or Abu Dhabi angalau Dubai kwa sababu ni more western.
Maana yake.
"Siwezi kujihisi salama Qatar, Oman au Abu Dhabi, labda Dubai kwa sababu wana umagharibi"

Tumeelewana?
 
Labda sijaelewa Ni uzungumzaji upi unaoongelewa.
Hiyo link niliyokupa inajieleza.
China mainland watu wanazungumza Mandarin A-Z kwa wingi vibaya mno.
Ukija English kuna watu wanaiongea A-Z (including maarabu) ni wengi mno.
.
Ukija Spanish kuna watu wanakizungumza A-Z ni wengi kuliko maarabu hata L.A na Vegas wamejaa.
Huwezi kumkuta mtu anasema asalamaleko, sijui anapiga kelele kwenye vispika vile ukasema anajua kiarabu big No!
 
mkuu get your facts together, Spanish inaongewa na watu wengi kuliko kiarabu so ikitoka kingereza ambayo na yenyewe sio ya kwanza inakuja spanish kutokana na maelezo yako list iko hivi

TOP FIVE
1. Mandalini- Kichina
2.English
3. Hindustani- Kihindi...
Statistically speaking utakuwa sahihi kusema Mandarin wana wazungumzaji wengi kwasababu china ni nchi yenye watu wengi.
LAKINI still nampa English kwasababu katika hiyo list ya english speakers sidhani kama wamehesabu kila mtu anayeweza kufloo ung'eng'e.

sidhani kama nchi zetu za africa zimehesabiwa kwasababu English huku sio first language... hata bongo hapa na hakika kuna atleast 10M people wanongea fluent, bado hujaenda kenya na Nigeria.. hata hao mandarin speakers unaweza kuta nusu yao wanajua kiingereza.

Point yangu ni kuwa as a first language Mandarin inaweza kuongoza lakini tukiangalia wingi wa watu wenye uwezo wa kuongea fluently lugha husika..

English itaongoza kwa sababu ni nadra sana kukuta mtu asiye mchina akikijua kimandarin fluent lakini utakuta wachina,waafrica,waarabu asilimia kubwa wanakijua kiingereza
 
kwa point hiyo unaweza ukawa sawa, alafu me nlidhan kuongea ni kuongea tu hata kama unaongea broken
 
Ahahahaha! America kuna majimbo hayaruhusu kabisa hizo adhana.
.
Kwa hiyo kumbe ndio maana majamaa yalizuia kutafsiri Koran kwenda lugha ingine ili ya-promote lugha yao pamoja na utamaduni wao?...
Wee mwanangu unaithamini Vimarekani njaa tuou hao!! Atiwamekataa "adhana". Usilishwe tango pori... Gademit!
Ikiwa Congress na Seneta house wanasoma Qura'an na kuitanguliza ktk mambo yao!!

Vipi wasitambue Power of Arabic!!

Njoo tule tende na haluwa!!
 
Ahahahaha! America kuna majimbo hayaruhusu kabisa hizo adhana.
.
Kwa hiyo kumbe ndio maana majamaa yalizuia kutafsiri Koran kwenda lugha ingine ili ya-promote lugha yao pamoja na utamaduni wao?...
Hehehe... Mwanangu ujue kuuawana kupo ktk kila Taifa..na nijambo la kihalifu na uvunjaji sheria! Lakini hao unao watetea na kuona wana maendeleo kwako ni wauwaji wa Mass (huteketeza binadamu na utu wao kwa jumla) KM:- hili janga la Coro.. Bomu la Hiroshima huko japan.

Vita vya WW2 mjomba Hilter nk nk.. Vietnam war.. Iraq invasion.. Libya conspir!! Na Sehem nyingi barani Afr!!
Hivo usichanganye madawa!!

Karibu tule embe kama hutaki tende!!
 
No kichina kimezidiwa mbali na hizi lugha hata kifaransa kipo juu
Wachina Wako. 1.3 to 1.5billion na hao wote wanaongea KICHINA AKA Mandarin. Plus nchi za Asia zinazowazungua wanakijua na kuonge pia. Jumlisha nchi zinazoongea French uone kama hata mil 500 wanafika.
 
Kuna lugha maarufu na lugha inayoongelewa na watu wengi. English French na Spanish ni lugha maarufu.

But Mandarin ni lugha inayoongelewa na watu wengi but sio Maarufu
 
Hehehe... Mwanangu ujue kuuawana kupo ktk kila Taifa..na nijambo la kihalifu na uvunjaji sheria !!
Swali ni wanauwana kwa misingi ipi na ili iweje?
.
ISIS wanaua kwa misingi ipi na ili iweje?

Lakini hao unao watetea na kuona wana maendeleo kwako ni wauwaji wa Mass (huteketeza binadamu na utu wao kwa jumla) KM:- hili janga la Coro.. Bomu la Hiroshima huko japan..
Vita vya WW2 mjomba Hilter nk nk.. Vietnam war.. Iraq invasion.. Libya conspir!! Na Sehem nyingi barani Afr!!
Hivo usichanganye madawa!!
Karibu tule embe kama hutaki tende!!
Sasa ukiwatoa wao kwenye maendeleo utamuweka nani? Leo hii mzungu, Muhindi na Mchina wakae wasi-invert chochote maarabu yatafanya nini kama sio allah kubar tu?
.
Kwanini watu wa Hiroshima walipigwa bomu la nuclear je ni kwa sababu za kidini?
WW2 ilikuwa ni dini vs dini au chanzo chake ni nini?
Vita ya Vietnam, kwanini America alienda Vietnam kipi kilimsukuma hadi akaenda?
Ni lini Iraq ilifanyiwa invasion?
.
Hapa nitakupa mfano nyakati za kuenea kwa uislamu duniani ilitumika nguvu kubwa sana kuusambaza walitoka kwao wakaenda Spain kutawala na kueneza dini ile ndio invasion.

Back in Africa Waingereza, Wajerumani, Wareno, Wafaransa, maarabu. walikuja Africa kufanya invasion, leo hii U.K waislamu wanajazana kila kukicha japo covid-19 inawapukutisha ila wanajaa na kule ni Christianity kingdoms lengo lao ni nini?
.
Mwisho kwanini Gaddafi aliondolewa na umoja wa hizo nchi nadhani zilikuwa tano kipi kiliwasukuma hadi wakenda kumuondoa?
Note; aliuwawa na maarabu wenzie.

Abdool karibu KITIMOTO hapa nimeshakitia ndimu, na chachandu 😋
 
Why not Syria,Iraq,Iran ambazo Zina raia wajristo also?,umetaja nchi vibaraka wa US,,Sasa nakwambia,niwekee picha ya kanisa Qatar,abudhabi nitakupa buku kumi ya bila masharti
Naomba hiyo elfu10 ....hapo no qatar
 

Attachments

  • Screenshot_20200529-150914.png
    Screenshot_20200529-150914.png
    52.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200529-151006.png
    Screenshot_20200529-151006.png
    220.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom