Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Zimbabwe
Zambia
South africa
Malawi
Uganda
Kenya
Botswana
Eswatin
Ghana
Nigeria
Lethoto
nadhani ni kweli, nchi nyingi zinatumia kiarabu

Kiingereza kinatumiwa nchi tano tu, UK, USA, Canada, Australia and New Zealand.
 
1. English
Wazungumzaji milioni 1.132

2. Mandarin Chinese
Wazungumzaji bilioni 1.117

3. Hindi
Wazungumzaji bilioni 615

4. Spanish
Wazungumzaji bilioni 534

5. French
Wazungumzaji bilioni 280

6. Standard Arabic
Wazungumzaji bilioni 274

7. Bengali
Wazungumzaji bilioni 265

8. Russian
Wazungumzaji bilioni 258

9. Portuguese
Wazungumzaji bilioni 234

10. Indonesian
Wazungumzaji bilioni 199

Kiingereza kipo namba moja.
 
Kiarabu, English na Kihispania lugha hizi zinaongelewa na watu wengi sana duniani. Especially Kiarabu nakiona kinakuja kwa kasi sana hususan ukanda huu wa East afrika, West Afrika, Asia, Europe n.k.
 
Lakini bado haujanijibu swali langu.
Ni kwanini ni "muhimu sana" kujifunza kiarabu? Au hayo mataifa kuongea kiarabu basi ndiyo sababu mojawapo?

Utakuja ona baadae umuhimu wake, waarabu watarudi kuutawala ulimwengu kwa mara nyingine, na kiarabu ndio itakuwa lugha pekee inatumika kwenye makazi n.k.

Amani pia itakuwepo ulimwenguni na kila mtu atapata haki yake, tofauti na wazungu wabaguzi na wauwaji kwa weusi na waarabu.
 
Ubest wa lugha unaangaliwa kwa wingi wa uzungumzwaji wa watu au kwa ubora wa lugha ? Ila kama kwa wingi hapo sawa ila kwa ubora wa lugha, aisee hakuna lugha bora hapa duniani na kamili kielimu kuzidi lugha ya KIARABU, kuanzia kihistoria,udhibiti,na fani zake, yaani hakuna.

Hawajui hawa,

Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki.

Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la pwani.

Mwanzo katika miji ya pwani
Kiswahili kilianza kama lugha ya miji na mabandari ya biashara ya kimataifa kwenye pwani ya Afrika ya mashariki.

Tuna historia jinsi gani miji kama vile Kilwa, Lamu na mingine kadhaa ilianzishwa na wafanyabiashara Waarabu au Wajemi waliooa wenyeji. Idadi ya wahamiaji kutoka Uarabuni haikuwa kubwa sana, hivyo lugha ya wenyeji ilitumika kila mahali ila tu maneno mengi yameingia kutoka Kiarabu. Kwa ujumla Kiswahili kina maneno yenye asili ya Kiarabu kati ya 30-40%, hali inayokaribia kiasi cha maneno yenye asili ya Kilatini au Kifaransa katika lugha ya Kiingereza.

Utamaduni mpya ulijitokeza uliokuwa wa Kiafrika na wa Kiislamu ukajielewa kuwa sehemu ya dunia ya Uislamu. Hivyo Kiswahili kilizaliwa kuwa lugha ya Kibantu kilichopokea maneno mengi ya asili ya nje.

Askari_makumbusho_matini_Kiswahili_-_Kiarabu_chanzo.jpg

Kiswahili kiliandikwa muda mrefu kwa herufi za Kiarabu. Haya ni matini kwenye sanamu ya askari huko Dar es Salaam, Tanzania. Yanasema: "Huu ni ukumbusho wa askari wenyeji Waafrika waliopigana katika Vita Kuu."

Lugha hii ilionekana kuwa na ustaarabu wa Kiarabu zaidi, yaani Uislamu.
 
Kunasababu nyingine nimezipewa pia.
Mwalimu wangu naomba unifundishe kiarabu. Asante.

Back
Top Bottom