Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

Reonaldo mtu asie na nyama ,ila kicheko atakachokupaa au basii 🤣😂
Leonardo ,mtu asie na mwili ila kichekesho atakachokupa au basi tuu 😂🤣
 
For Me naona
1. Leonardo
2. Eliud
3. Tx Dullah

Hawa nawaona wakikaza zaidi wanaweza fika mbali.

Muhimu kuzingatia
1. Mungu kwanza
2. Nidhamu ya maisha kwa ujumla ikijumuisha kazini na maisha binafsi
3. Kujifunza kwa waliotangulia
4. Kusoma sana, hapa inahusisha juu ya field yao na field za maisha na zote nje ya darasa la kawaida
5. Kuinvest katika mapato wanayopata katika miradi mingine, waepuke ulimbukeni.
 
Leonardo na Eliud wakijitahidi kutambaa na story moja hata wa 5minutes watafika mbali. Stand up comedy si kutoa punchlines kama za kwenye memes, ni story telling, kuchambua current events na kusimulia life experience, siyo malani. Kwenye kuunda story na kujitahidi kwenda nayo kidogo Eliud anajitahidi lakini bado.

Waangalie mbele. Mtu show nzima anaweza kuwa na story tatu tu.

Mbali na hayo, Cheka Tu wamefanya kazi nzuri kukuza UCHESHI WIMA.
 
Mbona unawapangia?
 
Atakae mpa kura huyu Jol Master anitag nina wasi wasi na jinsia yake.
 
Hawa watoto wakiongozwa na Leonardo walikuwa wanakuja vizuri ila nilopowaona kwenye upumbavu wa maccm kuanzia hapo nikasema acha wawachekeshe wafu wenzao
CCM inajua jamii ya wajinga wanawaelewa zaidi watu wasio serious, Ndo maana hatu wamewapa wabunge wa la 7 kule kanda ya ziwa sasa wamewafata Wajinga wa tiktok hao ndo wanaisemea jamii ya TZ kwa sasa.
 
Huyo jol na ndaro naona kama wanafosi tu kuwa wachekeshaji ila hamna kitu
 
Back
Top Bottom