Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

For Me naona
1. Leonardo
2. Eliud
3. Tx Dullah

Hawa nawaona wakikaza zaidi wanaweza fika mbali.

Muhimu kuzingatia
1. Mungu kwanza
2. Nidhamu ya maisha kwa ujumla ikijumuisha kazini na maisha binafsi
3. Kujifunza kwa waliotangulia
4. Kusoma sana, hapa inahusisha juu ya field yao na field za maisha na zote nje ya darasa la kawaida
5. Kuinvest katika mapato wanayopata katika miradi mingine, waepuke ulimbukeni.
Yoh! Bro unajua stand.up comedy...i wish these three comedians you mentioned would have seen your comment..umetoa right judgement plus Madini muhimu sana kwa mafanikio yao
 
Toka nimewaona CCM siwafagalii....
Lakini kabla ya CCM
Leonardo is the last man standing, he has intelligent jokes
 
Leonardo na Eliud wakijitahidi kutambaa na story moja hata wa 5minutes watafika mbali. Stand up comedy si kutoa punchlines kama za kwenye memes, ni story telling, kuchambua current events na kusimulia life experience, siyo malani. Kwenye kuunda story na kujitahidi kwenda nayo kidogo Eliud anajitahidi lakini bado.

Waangalie mbele. Mtu show nzima anaweza kuwa na story tatu tu.

Mbali na hayo, Cheka Tu wamefanya kazi nzuri kukuza UCHESHI WIMA.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.... as they move wataenda sawa na matakwa ya wateja wao
 
Hawa watu mnakutana nao wapi?mbona majina ni mageni kwangu
 
Zimewekwa na nani izo kanuni? Au unataka tu wafanye kama anavofanya flan uko nje?
Ziliwekwa na association of stand up comedians. Kama arts zingine, stand up comedy in kanuni zake. Stand up comedy siyo tu kusimama na kuchekesha kama unavyodhani.
 
Leonardo anachekesha wasomi na wenye D mbili, Tx Dullah na kipotoshi kidogo wanajitahidi.
Huyu Eliudi ashaanza kulamba asali, tutegemee mama anaupiga mwingi nyingi kama mume wa ephen_
 
Tx Dullah na Leonardo wanajua... Kuna huyu Steve mweusi hamna kitu pale
 
Back
Top Bottom