Yoh! Bro unajua stand.up comedy...i wish these three comedians you mentioned would have seen your comment..umetoa right judgement plus Madini muhimu sana kwa mafanikio yaoFor Me naona
1. Leonardo
2. Eliud
3. Tx Dullah
Hawa nawaona wakikaza zaidi wanaweza fika mbali.
Muhimu kuzingatia
1. Mungu kwanza
2. Nidhamu ya maisha kwa ujumla ikijumuisha kazini na maisha binafsi
3. Kujifunza kwa waliotangulia
4. Kusoma sana, hapa inahusisha juu ya field yao na field za maisha na zote nje ya darasa la kawaida
5. Kuinvest katika mapato wanayopata katika miradi mingine, waepuke ulimbukeni.