Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Pork, mdudu, mnyama, mbuzi katoliki, kitimoto n.k achana naye ana utamu usioisha hamu. Utakula na siku nyingine hamu utaipata tu.

Utaila ya kuoka, kukaanga, roast, makange 😋 n.k bado mtamu. Kitimoto kidumu 💪na sio chama cha mambuzi.
8f3d353b4ff5f3b012f552752ee9b3c4.png

Uzi unahitaji picha za kutoshaa!
Mate yamenijaa mdomoni
 
My kaumbwa akaumbika🤣🤣 Na kamkia kadogo akapewa. Nyiee Mai wetu jaman. 🤣🤣 matee yamejaa
Leo mahi atakoma lazima mifuko itoboke ili wauzaji waneemeke, mahi anafaida lukuki sio kwenye ulimi tu ila hata kiafya ya akili na mwili, mahi analika hadi mfupa, mahi mwenyewe lainii hamalizi umeme, gesi wala mkaa kaumbwa na mafuta yake viungo hata usipoweka harufu yake yatosha, jamani mahiii wetu kabarikiwa
 
Back
Top Bottom