The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Dunia hii nani asiyekuwa na laana?Mna laana nyie
Tena sometimes wewe unayejiona huna laana una balaa kubwa kuliko unaowahukumu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia hii nani asiyekuwa na laana?Mna laana nyie
Yani mimi wa kuacha nyama kweli🤣🤣 broiler 🙌wamejua kunikomesha sina hamu nao kabisaIli umfaidi weka ndimu nyingi,chumvi na kitunguu swaumu kidogo then muoke!!utamfaidi
Lakini ukikutana na hawa wamtaani mtu anaosha anatia kwenye mafuta yaani huwezi jua hata unakula kitu gani!!
Karibu sanaNdio hiyohiyo mchemsho!
Unamchinja saa ngapi
Yani inaanza kitimoto, kuku kienyeji, mbuzi, ng'ombe nionavyo mimiKitimoto bwana!! Ana radha flani hivi ya kipekee Sana! Huyu mdudu ni balaa!
Kuku wa kienyeji Pure akipikwa mchemsho nae ni hatari!!
Mule mule!mpangilio umekaa vyema kabisaYani inaanza kitimoto, kuku kienyeji, mbuzi, ng'ombe nionavyo mimi
Utakapojikuta wewe ndo upo nje ya mada kwa mawazo yako potofu sijui utaambia nini watuKwa kweli watoto wadogo ni wengi
Mleta mada hajamaanisha nyama za kula, au hamjui maan ya kuku wa kienyeji na kitumoto
kuku wa kienyeji ni watamu ingawa hawana mvuto kivile. Nilikula mmoja ana nywele (vuzi) nyingi huko kijijini. Sio kwa utelezi ule
Kitimoto sili na sijawahi kula. Sema wale wa kanzu wanawapenda sana 😢
Kwa kweli
Una mwaka wa ngapi hapa Tanzania?Kwa kweli watoto wadogo ni wengi
Mleta mada hajamaanisha nyama za kula, au hamjui maan ya kuku wa kienyeji na kitumoto
kuku wa kienyeji ni watamu ingawa hawana mvuto kivile. Nilikula mmoja ana nywele (vuzi) nyingi huko kijijini. Sio kwa utelezi ule
Kitimoto sili na sijawahi kula. Sema wale wa kanzu wanawapenda sana 😢
Mkuu nikitoka acha nikaitafute. Ushani cost tayar 😂Especially kitimoto choma iliyotiwa viungo kama mayonnaise n.k
Sijawahi kusikia utamu wa mbuzi🥲Yani inaanza kitimoto, kuku kienyeji, mbuzi, ng'ombe nionavyo mimi
Kaka usiniache!😂😋Mkuu nikitoka acha nikaitafute. Ushani cost tayar 😂
Sikujua kuwa hata wewe ni mlaji wa huyo "mbuzi"😃Usifananishe kitimoto na vitu vya kijinga
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka..Hamu ya mdudu haina cha umepata lunch au dinner huwa ipo muda wote ina kachumba kake special ka hamu
Ngamia sijui kwa sababu sijawahi kuila, lakini kuku, hasa wa kienyeji, ni mtamu zaidi ya Mbuzi Katholiki!KITIMOTO IMEMSHINDA MPAKA NGAMIA KWA UTAMU WE DUNIA NZIMA ANAPATIKANA KASORO JANGWA LA SAUDIA TU
Umeshawahi kula My wetu wa Kuchoma lakini Dejane?Kuku tamu sana huniiambii kitu
Nyama yake tamu ikichomwa au supu sio vinginevyoSijawahi kusikia utamu wa mbuzi🥲
Ni kweli ni tamu, lakini siyo kuliko vitoweo vyote mkuu!Hakuna nyama tamu kama kitimoto duniani.