Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nitaenda huko nijaribu, kiti analiwa leo leo siwezi kujitesa hiviMasoko makubwa soko la buguruni rozasa, manzese na lile lililopo Manzese huwezi kukosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaenda huko nijaribu, kiti analiwa leo leo siwezi kujitesa hiviMasoko makubwa soko la buguruni rozasa, manzese na lile lililopo Manzese huwezi kukosa
Makongoro ya kitimoto! Ni miaka mingi lakini bado naikumbuka!Dah! Itabidi nije kuchukua kwato nije kupika supu ya makongoro😋
Dah! Nakuonea wivuNitaenda huko nijaribu, kiti analiwa leo leo siwezi kujitesa hivi
Kitimoto na beerSikujua kuwa hata wewe ni mlaji wa huyo "mbuzi"😃
Mimi makongoro nimekula sana cz tulikua tunafuga, ule utamu mpaka kichogoniMakongoro ya kitimoto! Ni miaka mingi lakini bado naikumbuka!
Kuna sehemu huwa napita kipo muda wote ila hawajui kumchoma vizuriDah! Nakuonea wivu
Mimi weekend nitaenda kujifededa
Tusibishane mkuu! Nifanyie mpango wa nusu kilo tu nione kama inafanana na niliyoila kipindi fulani!Mmmh! Eeee! Una uhakika ulikula kitimoto kweli?
Unasema!Tusibishane mkuu! Nifanyie mpango wa nusu kilo tu nione kama inafanana na niliyoila kipindi fulani!
Huu ujanja hata mie nimeuelewa🤣🤣Tusibishane mkuu! Nifanyie mpango wa nusu kilo tu nione kama inafanana na niliyoila kipindi fulani!
Hivi utumbo wa kitimoto unaliwa?😅😅😅kiti hafai kuunga mchuzi tu ila mchemsho hasa utumbo wake ni mtamu mbuzi anasubiri
BurundiToka nimetoka kigoma au Burundi?
Ahaha
Ngoja wana Daslam wakujuze!Daslam kuku wa kienyeji wanapatikana wapi! nisaidie nina hamu nae sana
Juzi mahi wa watu kachukua tuzo ya utamu, chanzo bbc sio radio mbaoNi kweli ni tamu, lakini siyo kuliko vitoweo vyote mkuu!
Jana tu si ulisema ulikula haya mavitu leo mate yamejaa mdomoni , sioni ukipungua wewe🤔
Nikikuletea itaishia jikoni! Nitumie hela niingie chobis fulani wanakotengeneza!Unasema!
Yaani uilete nikukaangie au nikununulie?
Ushawahi kula mdudu? Utamu wake hauishi hamu, mdudu mtamu huyu😋😋Jana tu si ulisema ulikula haya mavitu leo mate yamejaa mdomoni , sioni ukipingua wewe🤔
UnaumwaNikikuletea itaishia jikoni! Nitumie hela niingie chobis fulani wanakokaanga!
Nyoya tu ndo sijawahi kupita nalo vilivyobaki nimekula mkuu, kwahiyo ndio unaliwa tena ni mzuri hauna mafuta kama nyama yake, mzuri sana kwa wanywa pombe kali, uuchome au mchemsho tupia ndizi au Viazi weuweeeee nimekumbuka mbali sanaHivi utumbo wa kitimoto unaliwa?
Huu uzi unatia njaa🥹 ila njaa ya mduduNyoya tu ndo sijawahi kupita nalo vilivyobaki nimekula mkuu, kwahiyo ndio unaliwa tena ni mzuri hauna mafuta kama nyama yake, mzuri sana kwa wanywa pombe kali, uuchome au mchemsho tupia ndizi au Viazi weuweeeee nimekumbuka mbali sana