Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Nyoya tu ndo sijawahi kupita nalo vilivyobaki nimekula mkuu, kwahiyo ndio unaliwa tena ni mzuri hauna mafuta kama nyama yake, mzuri sana kwa wanywa pombe kali, uuchome au mchemsho tupia ndizi au Viazi weuweeeee nimekumbuka mbali sana
Pamoja na kukulia mkoa unaotumia hiyo mboga kwa wingi sijawahi kula utumbo wake. Tuliambiwa utumbo wake ni mchungu, haufai kuliwa!
 
Pamoja na kukulia mkoa unaotumia hiyo mboga kwa wingi sijawahi kula utumbo wake. Tuliambiwa utumbo wake ni mchungu, haufai kuliwa!
Waliwadanganya, utumbo wake mzuri kinoma hata wa ng'ombe haufikii na sio mchafu kiivyo huwezi amini,

Ilikuwa tukichinja nahakikisha nimekula kila sehemu, nyama, ngozi, utumbo, kongoro, nikishiba nilikuwa nachoma masikio sasa natafuna taratiiiibu km jojo😋
 
Weuweee! Kapeace wewe ndiye umemuenjoy sana mahi wako!
Mimi kongoro zake ni tamu nilikua nikishika ile kwato hunitoi kwa utamu
 
Pork, mdudu, mnyama, mbuzi katoliki, kitimoto n.k achana naye ana utamu usioisha hamu. Utakula na siku nyingine hamu utaipata tu.

Utaila ya kuoka, kukaanga, roast, makange 😋 n.k bado mtamu. Kitimoto kidumu 💪na sio chama cha mambuzi.
Kuna watu wanadai eti si salama kwa afya!
 
Back
Top Bottom