Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii ni tamu sana, huwa natoka 16km kuifuta kwa chef mzuri.Mkuu nikitoka acha nikaitafute. Ushani cost tayar 😂
Mwaka huu nilikuwa huko! Wanakula kitimoto sijawahi ona mfano wake. Sijui ni kwa sababu ya hali ya hewa? Huko nilikuta na staili ya upishi ambayo sijawahi ona popote!Weeeee kumbee njombe sijaishi napitaga tu,
Unaona sasa🥺Hiyo lazima nitakuomba
Style gani hiyo ya mchuzi au maana kuna wengine wanapenda kuharibu cv ya huyu mduduMwaka huu nilikuwa huko! Wanakula kitimoto sijawahi ona mfano wake. Sijui ni kwa sababu ya hali ya hewa? Huko nilikuta na staili ya upishi ambayo sijawahi ona popote!
Hata sijui ila ilikuwa tamu sana!Style gani hiyo ya mchuzi au maana kuna wengine wanapenda kuharibu cv ya huyu mdudu
Hata yale masikio yake ni balaa.....unatafuna sikio linalia tu kwarachuu kwarachuu tamuuuNyoya tu ndo sijawahi kupita nalo vilivyobaki nimekula mkuu, kwahiyo ndio unaliwa tena ni mzuri hauna mafuta kama nyama yake, mzuri sana kwa wanywa pombe kali, uuchome au mchemsho tupia ndizi au Viazi weuweeeee nimekumbuka mbali sana
Hapo sawa dizaini flani ya kimchemsho hiyo,Hata sijui ila ilikuwa tamu sana!
1. Haikuwa na mchuzi!
2. Haikupikwa kama mboga!
3. Ilikuwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali kama viazi mviringo, mboga za majani n.k.
Halafu sasa ilipikwa na mafundi ujenzi kwa hiyo niliila kwenye kambi ya mafundi.
Hata wewe mkuu?Hata yale masikio yake ni balaa.....unatafuta sikio linalia tu kwarachuu kwarachuu tamuuu
Kale kamfupa laini keupe na yalivyosambaa ila haya matumbo hayana shukraniHata yale masikio yake ni balaa.....unatafuta sikio linalia tu kwarachuu kwarachuu tamuuu
Hivi kuku mzima ana uzito gani?Hivi unajua kuwa kuku mzima ni 15000 halafu pesa hiyo unapata kilo moja na nusu tu ya kitimoto.
Zingatia: Kuku mzima
Huku mjini hiyo 15k ni kilo 1Hivi unajua kuwa kuku mzima ni 15000 halafu pesa hiyo unapata kilo moja na nusu tu ya kitimoto.
Zingatia: Kuku mzima
Kilo 1 ya kitimoto? Mnapunjwa sana!Huku mjini hiyo 15k ni kilo 1
Kitimoto ni habari nyingine hakuna wa kufanana nae yani.....Hata wewe mkuu?
Ujue ukishiba utashindwa kusoma vitabu😃
Ndo bei yake na wadau tunanunua kuna sehemu inazidi hapoKilo 1 ya kitimoto? Mnapunjwa sana!
Mbona nimehisi njaa ghafla?
Siyo kweli mkuu!Kwa jinsi comments navyoona na uzi unavyotembea, naona wadau bado hawajapata lunch..
Hata mimi nahisi njaa na imechochewa na picha uliyoiweka kwenye comment namba 22.Mimi lunch nimepata ila nasikia njaa hapa na tiba pekee ni kupata mduduuuu
Unajua una hoja ee!Hamu ya mdudu haina cha umepata lunch au dinner huwa ipo muda wote ina kachumba kake special ka hamu