Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kapigwa vita sana ila hajawahi kufeli, ni wiki hii nyama yake imetangazwa kuwa nyama tamu kuliko zote dunianiWatu fulani wanadai eti hiyo mboga si salama kwa afya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa vita sana ila hajawahi kufeli, ni wiki hii nyama yake imetangazwa kuwa nyama tamu kuliko zote dunianiWatu fulani wanadai eti hiyo mboga si salama kwa afya!
Inasemekana na utumbo nao pia ni mtamu!Ukitaka kufaidi sio upike soup,
Tengeneza mchemsho af rudi hapa kutupa mrejesho.
Huyo mdudu ni hatari! Kuanzia pua,.masikio, kwato.
daah.... acha tu, hapo bado hujagusa nyama kusudiwa!
😃😃😃Kitimoto huniondoi
Point!Ili umfaidi weka ndimu nyingi,chumvi na kitunguu swaumu kidogo then muoke!!utamfaidi
Lakini ukikutana na hawa wamtaani mtu anaosha anatia kwenye mafuta yaani huwezi jua hata unakula kitu gani!!
Kitimoto Ni nomaaNaamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji!
Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
Kwisha habari yako😅😅😅kuna mtu nilikuwa naongea nae juzi ya jnne nikamwambia awe ananiandalia mdudu km kg 4 anitumie kwenye basi,Unajua una hoja ee!
Nashangaa nimehisi njaa na huku nilikuwa nimekula na kushiba!
Kuku wa kisasa kooni kwangu hapiti ananishinda kabisa.Nje ya mada kuku wa kisasa kanishinda jamani hana ladha hata kidogo km unakula sponji
[emoji91][emoji91][emoji91]Pork, mdudu, mnyama, mbuzi katoliki, kitimoto n.k achana naye ana utamu usioisha hamu. Utakula na siku nyingine hamu utaipata tu.
Utaila ya kuoka, kukaanga, roast, makange [emoji39] n.k bado mtamu. Kitimoto kidumu [emoji123]na sio chama cha mambuzi.
Ule usemi wa mwembe wenye matunda ndiyo hupigwa mawe umehusika😃Kapigwa vita sana ila hajawahi kufeli, ni wiki hii nyama yake imetangazwa kuwa nyama tamu kuliko zote duniani
Kama mimi tu kanishinda jamani na kupenda nyama kote ila kanishinda na mikono nimeinua juu sina shobo naeKuku wa kisasa kooni kwangu hapiti ananishinda kabisa.
Ni kweli mkuu, zinaongelewa nyama ya "pork" na si vinginevyo!Ukiwa mgeni humu unaeza kudhani hapa zinaongelewa nyama.
🥺Acha kufananisha kitimoto na visivyoeleweka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilo 4?Kwisha habari yako😅😅😅kuna mtu nilikuwa naongea nae juzi ya jnne nikamwambia awe ananiandalia mdudu km kg 4 anitumie kwenye basi,
leo umeleta mada yake, acha mchezo na hiyo kitu
Mai kapitia vita vyingi vya kiimani, afya. lakini ana jopo la mawakili utetezi wa Dunia nzima.🤣🤣 🐷🐷🐖🐖Kapigwa vita sana ila hajawahi kufeli, ni wiki hii nyama yake imetangazwa kuwa nyama tamu kuliko zote duniani
Kuku wa kisasa siyo nyama mkuu!Kuku wa kisasa kooni kwangu hapiti ananishinda kabisa.
7000*4=28000, huku town ni kilo 2 au kasoro kidogoKilo 4?
Mnatupunja wenzenu mkuu!
Mawakili tumesambaa kila kona anafelije sàsa!Mai kapitia vita vyingi vya kiimani, afya. lakini ana jopo la mawakili utetezi wa Dunia nzima.🤣🤣 🐷🐷🐖🐖