Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Ukitaka kufaidi sio upike soup,
Tengeneza mchemsho af rudi hapa kutupa mrejesho.
Huyo mdudu ni hatari! Kuanzia pua,.masikio, kwato.
daah.... acha tu, hapo bado hujagusa nyama kusudiwa!
Inasemekana na utumbo nao pia ni mtamu!
 
Pork, mdudu, mnyama, mbuzi katoliki, kitimoto n.k achana naye ana utamu usioisha hamu. Utakula na siku nyingine hamu utaipata tu.

Utaila ya kuoka, kukaanga, roast, makange [emoji39] n.k bado mtamu. Kitimoto kidumu [emoji123]na sio chama cha mambuzi.
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
94D9E3EF-E52F-416D-9EAE-5AE578AF9B27.jpeg
 
Back
Top Bottom