Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

😁😁 zile T3 kama yule jamaa anavyosemaga hazitaondoka kwako basi.
T1 haiboi kama imesimama dede
T2 inaboa ila inasaidia kuweka kichwa cha mchumba
T3 hii ni unyama inafanya macho yasichoke kutazama na mikono isichoke kushika

Kwanini tutoe T3 wakati ni mali watu wanazililia😂
 
Waliwadanganya, utumbo wake mzuri kinoma hata wa ng'ombe haufikii na sio mchafu kiivyo huwezi amini,

Ilikuwa tukichinja nahakikisha nimekula kila sehemu, nyama, ngozi, utumbo, kongoro, nikishiba nilikuwa nachoma masikio sasa natafuna taratiiiibu km jojo😋
Aisee! Na mimi nitajaribu nione!
 
Ni wapi huko mkuu?

Haya mambo si ya kufichana ujue!
Karagwe/kyerwa vijiji vya mipakani, naamini mambo hayajabadilika, wanawafuga na kuwachunga km mbuzi, nyama yake inakuwa km ngiri(nguruwe pori),

Uhutu na tutsi upo si kwa kiwango cha Rwanda ila upo, inaaminika wahutu ni wakulima na wafuga nguruwe na watutsi ni wafugaji wa ng'ombe na mbuzi kwahiyo soko la kitimoto sio kubwa kihiivyo,
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom