Kati ya kubeti na mapenzi ipi ina faida?

Kati ya kubeti na mapenzi ipi ina faida?

Leo home nilikua na wagenii imepikwa pilau moja MATATA ..

Ndio natoka sindikiza wageni kula sana piga sana story aiseee sio mchezo brother 😁

Now ndio nipo chumbani hapa nimeacha wageni wa kike ndugu za wife nikasema ngoja niingie chumbani sijui nichepuke nikaongezea kidogo naona gejii inapungua
😅😅 pasha kichwa mkuu
 
Mapenzi na kubeti yote inatumia hela, lakini cjajua ipi bora kuliko kingine, mie mwenzenu na afadhalisha kubeti kuliko mapenzi sijui nyie.
Kijana wa fesibuku anapotafuta likes jamiiforums🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮
 
Mapenzi na kubeti yote inatumia hela, lakini cjajua ipi bora kuliko kingine, mie mwenzenu na afadhalisha kubeti kuliko mapenzi sijui nyie.
"Kama wa mama"

Nosense 🚮
 
Back
Top Bottom