Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahaaaaaaHuwa anatusumbua arsenal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaaaHuwa anatusumbua arsenal
Leeds united watabaki hapo hapo ijapo watashinda hivyo Leicester city watacheza play off na kurudi tena.Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City.
Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja.
Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana na Southampton kuelekea Championship.
Timu ambazo zipo katika hatihati ya kushuka daraja ni Everton, Leeds Utd na Leicester City.
Everton yupo nafasi ya 17 akiwa na alama 33 atakuwa nyumbani kumkaribisha Bournemouth. Ushindi utawafanya Everton wasalimike kushuka.
Leicester City wapo nafasi ya 18 na alama 31 watakuwa nyumbani kuwaalika West Ham Utd ambapo atakiwa anataka ashinde huku akiombea Everton apigwe.
Leeds Utd chama langu lipo nafasi ya 19 na alama 31 watakuwa wapo nyumbani kuwaalika Spurs. Watajaribu kushinda huku wakiziombea Leicester na Everton wafungwe.
EPL ina maajabu yake na ndio maana ina mvuto, lolote linaweza kutokea.
Utabiri wangu:
Leeds na Leicester wataungana na watakatifu Southampton kuelekea Championship (Ligi ngumu kuliko ligi kuu za baadhi ya nchi barani ulaya)
Tupe utabiri wakoView attachment 2635431
Leeds united watabaki hapo hapo ijapo watashinda hivyo Leicester city watacheza play off na kurudi tena.
EPL Haina play off. Wale watatu wa chini watashuka.Leeds united watabaki hapo hapo ijapo watashinda hivyo Leicester city watacheza play off na kurudi tena.
Kweli?EPL Haina play off. Wale watatu wa chini watashuka.
Nilidhani labda ataenda kukutana na Luton au Coventry.Play off gani?
Hapana anashuka moja kwa mojaNilidhani labda ataenda kukutana na Luton au Coventry.
Haipo mzeeKweli?
Siyo kwamba ipo na anaenda kukutana na wanaocheza play off kati ya Luton na Coventry?
NakaziaUtaratibu wa ligi ya uingereza ninmzuri Sana bongo alieshuka daraja anacheza na champion wa daraja la kwanza kugombea ligi kuu hii Ni uonevu Sana kwa timu za championship washenzi Sana tff
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kushukaEverton sikumbuki mara ya mwisho kushuka daraja ilikuwa lini
Everton kapata goli. Leicester bybyLeicester anaongoza hivyo kamshusha Everton kwa muda