KUMBE TAYARI UNAYO JIBU LA SWALI LAKO, SASA UMELETA JUKWAANI LA KAZI GANIUna uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.
Umepata jibu usilolitegemea,,,ushasema tuweke uchama pembeni then unauliza mchangiaji nichama gani?? NonsenseUnashabikia Chama gani Mkuu kati ya CHADEMA na CCM?
Wewe jamaa una akili fupi sana,Una uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.