CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Kalime basi au mshauri mtoa mada Alime,shida iko wapi?Lini ulishawahi kusikia alizeti umekosa soko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalime basi au mshauri mtoa mada Alime,shida iko wapi?Lini ulishawahi kusikia alizeti umekosa soko?
Ndicho kilimo ninachofanya.Kalime basi au mshauri mtoa mada Alime,shida iko wapi?
Kumbe unalima Alizeti, basi SAWA hongera mkuu.Ndicho kilimo ninachofanya.
Na kwa taarifa yako sehemu nyingi kilimo kinapofanyika kwa wingi gharama za kutunza mazao ni nafuu sana.
Kingine, usiangalie wingi wa mavuno muhimu ni kujua gharama za uzalishaji na bei ya soko ya zao husika.Mkuu kuna kitu naendelea kujifunza hapa japo kama vile matokeo ya mahindi kwa maana ya kipato mahindi unaweza pata matokeo ya magunia mengi kuliko alizeti vile kama umezingatia mahitaji ya shamba
Kwasasa alizeti ni lulu,tena ukichanganya na vita ya Ukraine ndo kabisaaa! Bei ipo juu mnooo.Vyote vinalipa tena sana muhimu ni soko ujue nikivuna naenda muuzia nani?
Alizeti inaweza kuwa na bei kuliko mahindi lakini ukikosa soko ukajikuta unakaa
na mzigo muda mrefu gharama za utunzaji zinaongezeka mpk unakuja kuuza uktoa matumizi faida inayobaki
bora hata ungelima mboga za majani,mahindi kadhalika yanaweza kuwa na faida kuzd alizet lakini formula n ile ile Una uhakika utamuuzia nani baada ya kuvuna?
Swali la muhimu kwenye Kilimo sio Faida, swali ni Je nikivuna namuuzia nani? kumbuka kilimo inatoa bdhaa zinazo oza zinahtaji matunzo na usmamiz mkubwa sana ili ziendelee kubaki bora muda wote kbla hazijamfkia mteja.
sasa umejiandaaje kwenye eneo hilo? Usi tazame faida kwenye kilimo utapasuka kichwa ubongo umwagike chini, Hii thread yako nilitegemea ungeuliza Kati ya Kilimo cha alizeti na mahindi Zao lipi lina uhakika wa wateja wa haraka?
Ukshajua zao ambalo hutochukua round ushauza shamba zima hilo ndio zao la kulima bila kujali faida n ndogo au kubwa, biashara tunasemaga ni heri sh 100 ya kila siku kuliko 10k ya mara moja kwa miezi miwili.
Calculate hasara na faida za kulima mazao husika na macho yako yasikomae kwenye FAIDA (pesa tu) yakomae engo zote.
NATUMAINI ushawahi kutana na watu wanalima halafu kwenye kuvuna Huo mwaka kila mtu anavuna vizuri, yani mnakutana sokoni kila mt shamba limejibu, Ndio yalee yakuja kuskia mafuta ya alizeti kdumu cha lita 5 hadi 7000,wakat saivi hujaanza kulima kdumu cha lita 5 unaambiwa ni 40,000 mate yanakutokaaaa Lima sasa uone utamu wake.
Kumbuka hulimi peke ako,hesabu hizi huzipgi peke ako na wakulima wengi hupga hesabu sawa vichwan n wachache sana huwa tofaut ila wengi hesabu zao n 1+1=2 woteeee wako hvyo.
Mkuu usifurahishwe na hesabu za makaratasi utazopgiwa hapa, hebu fanya zako utafiti ujue Zao lipi kati ya hayo ukilima una uhakika wa Wateja muda wowote utakao vuna,bila kujali utavuna wakat gani muhimu uwe na wateja UHAKIKA.
Lima ukiwa tayari unajua unaenda muuzia nani,sio ulime kuja tegemea faida huko masokoni, Kilimo n biashara za msimu ukshajua hilo ujue hata Faida zake zipo hvyo hvyo Kimsimu msimu.
Tujibu swali la thread yako ki theory theory, Alizeti inalipa kinoma nomaaa Asikwambie mtu Mkuu alizeti huwezi ifananisha na Mahindi.Nimemaliza Boss.
Kama hizi hesabu ziko sahihi kwanini watu wengi hukimbilia kulima mahindi na si alizeti? Mm Nina mashaka na hesabu zako!!! Mana tungekuwa hatuna changamoto ya mafuta nchiniGharama za uzalishaji wa mahindi kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano)
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu:4@12000=48,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi ya kwanza
Kupalilia:50,000 palizi ya pili
Sumu ya viwavi vamizi: 10,000
Mbolea ya kupandi: mfuko1@110,000
Mbolea ya kukuzia:mfuko 1@ 115,000
Kuvuna:40,000
Kupiga piga (Threshing):40,000
Usafirishaji.70,000
Gharama zingine:30,000
Sumu ya kutunzia mahindi 10,000
Jumla 700,000.
Matarajio ya mavuno gunia 25-30
Bei ya wastani ni 45,000 kwa gunia.
Kipato 1,125,000 hadi 1,350,000
Faida. 425,000 hadi 650,000
Kwa zao la Alizeti
Gharama za uzalishaji wa alizeti kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano).
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu: elfu 35,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi moja
Mbolea awamu moja 110,000
Kuvuna: 40,000
Kupiga piga:40,000
Usafiri: 70,000
Gharama zingine 30,000
Jumla 475,000
Matarajio ya mavuno gunia 15-20
Bei ya gunia wastani 100,000.
Kipato 1,500,000 hadi 2,000,000.
Faida 1,000,000 hadi 1,500,000.
Bado mashudu ukiuza yataongeza kipato
Hivyo Alizeti ina faida kubwa kulinganisha na mahindi, tena haina usumbufu mwingi.
Nawasilisha.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hiki ni kilimo cha makaratasiGharama za uzalishaji wa mahindi kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano)
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu:4@12000=48,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi ya kwanza
Kupalilia:50,000 palizi ya pili
Sumu ya viwavi vamizi: 10,000
Mbolea ya kupandi: mfuko1@110,000
Mbolea ya kukuzia:mfuko 1@ 115,000
Kuvuna:40,000
Kupiga piga (Threshing):40,000
Usafirishaji.70,000
Gharama zingine:30,000
Sumu ya kutunzia mahindi 10,000
Jumla 700,000.
Matarajio ya mavuno gunia 25-30
Bei ya wastani ni 45,000 kwa gunia.
Kipato 1,125,000 hadi 1,350,000
Faida. 425,000 hadi 650,000
Kwa zao la Alizeti
Gharama za uzalishaji wa alizeti kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano).
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu: elfu 35,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi moja
Mbolea awamu moja 110,000
Kuvuna: 40,000
Kupiga piga:40,000
Usafiri: 70,000
Gharama zingine 30,000
Jumla 475,000
Matarajio ya mavuno gunia 15-20
Bei ya gunia wastani 100,000.
Kipato 1,500,000 hadi 2,000,000.
Faida 1,000,000 hadi 1,500,000.
Bado mashudu ukiuza yataongeza kipato
Hivyo Alizeti ina faida kubwa kulinganisha na mahindi, tena haina usumbufu mwingi.
Nawasilisha.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kalime ukiamini vita ya ukraine itadumu mpk utakapovuna,ndio utajua kilimo hakina baba wala mamaKwasasa alizeti ni lulu,tena ukichanganya na vita ya Ukraine ndo kabisaaa! Bei ipo juu mnooo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kaka acha akili mgando,,sio kila anayelima ajitangaze kwenye tv umuone ndoo ujue kilimo kinalipa,kama hujui kulima kaa kimya na wala usiongee uongo kuhusu kilimo,,watu wanalima tena sana na wanapiga pesa sana wewe unakalia vijiweni kila siku na hiyo smart phone yako unategea mada za jamii forum ili uchangie huku umekaa kijiweni unasubili ugali wa bure kwa dada yako,,,acha kupotosha watu kuhusu kilimo,,hii kitu ndo watu wana invest pesa zao huko maporin na kila siku wanashusha fuso za kutosha mjni na wanatengeneza pesa mbaya,wewe kali kuongea usichokijua humu utashtukia una watoto hawajui jion wanakula nn,,sisi kilimo ndo kinatuweka mjini tema kwa kwa jeuri kubwa,,unapoona watu wanamilik ndiga mjin usidhan pesa wanazitoa ofcn,watu wana invest huko bara na vijijin then wanaleta mafuso ya mazao mjni,kesho unakutana na mtu kaulamba simple na ndinga kali unadhan yuko mjin tuu,,badilika weweee watu wanapiga pesa mashambaniKalime ukiamini vita ya ukraine itadumu mpk utakapovuna,ndio utajua kilimo hakina baba wala mama
Nlivyokuona tu kwny thread ya kilimo nlikaa mkao wa kula maana nlijua tu utamwaga madini. Uko vzr nmeokota kitu as usual!Vyote vinalipa tena sana muhimu ni soko ujue nikivuna naenda muuzia nani?
Alizeti inaweza kuwa na bei kuliko mahindi lakini ukikosa soko ukajikuta unakaa
na mzigo muda mrefu gharama za utunzaji zinaongezeka mpk unakuja kuuza uktoa matumizi faida inayobaki
bora hata ungelima mboga za majani,mahindi kadhalika yanaweza kuwa na faida kuzd alizet lakini formula n ile ile Una uhakika utamuuzia nani baada ya kuvuna?
Swali la muhimu kwenye Kilimo sio Faida, swali ni Je nikivuna namuuzia nani? kumbuka kilimo inatoa bdhaa zinazo oza zinahtaji matunzo na usmamiz mkubwa sana ili ziendelee kubaki bora muda wote kbla hazijamfkia mteja.
sasa umejiandaaje kwenye eneo hilo? Usi tazame faida kwenye kilimo utapasuka kichwa ubongo umwagike chini, Hii thread yako nilitegemea ungeuliza Kati ya Kilimo cha alizeti na mahindi Zao lipi lina uhakika wa wateja wa haraka?
Ukshajua zao ambalo hutochukua round ushauza shamba zima hilo ndio zao la kulima bila kujali faida n ndogo au kubwa, biashara tunasemaga ni heri sh 100 ya kila siku kuliko 10k ya mara moja kwa miezi miwili.
Calculate hasara na faida za kulima mazao husika na macho yako yasikomae kwenye FAIDA (pesa tu) yakomae engo zote.
NATUMAINI ushawahi kutana na watu wanalima halafu kwenye kuvuna Huo mwaka kila mtu anavuna vizuri, yani mnakutana sokoni kila mt shamba limejibu, Ndio yalee yakuja kuskia mafuta ya alizeti kdumu cha lita 5 hadi 7000,wakat saivi hujaanza kulima kdumu cha lita 5 unaambiwa ni 40,000 mate yanakutokaaaa Lima sasa uone utamu wake.
Kumbuka hulimi peke ako,hesabu hizi huzipgi peke ako na wakulima wengi hupga hesabu sawa vichwan n wachache sana huwa tofaut ila wengi hesabu zao n 1+1=2 woteeee wako hvyo.
Mkuu usifurahishwe na hesabu za makaratasi utazopgiwa hapa, hebu fanya zako utafiti ujue Zao lipi kati ya hayo ukilima una uhakika wa Wateja muda wowote utakao vuna,bila kujali utavuna wakat gani muhimu uwe na wateja UHAKIKA.
Lima ukiwa tayari unajua unaenda muuzia nani,sio ulime kuja tegemea faida huko masokoni, Kilimo n biashara za msimu ukshajua hilo ujue hata Faida zake zipo hvyo hvyo Kimsimu msimu.
Tujibu swali la thread yako ki theory theory, Alizeti inalipa kinoma nomaaa Asikwambie mtu Mkuu alizeti huwezi ifananisha na Mahindi.Nimemaliza Boss.
MkuuKaka acha akili mgando,,sio kila anayelima ajitangaze kwenye tv umuone ndoo ujue kilimo kinalipa,kama hujui kulima kaa kimya na wala usiongee uongo kuhusu kilimo,,watu wanalima tena sana na wanapiga pesa sana wewe unakalia vijiweni kila siku na hiyo smart phone yako unategea mada za jamii forum ili uchangie huku umekaa kijiweni unasubili ugali wa bure kwa dada yako,,,acha kupotosha watu kuhusu kilimo,,hii kitu ndo watu wana invest pesa zao huko maporin na kila siku wanashusha fuso za kutosha mjni na wanatengeneza pesa mbaya,wewe kali kuongea usichokijua humu utashtukia una watoto hawajui jion wanakula nn,,sisi kilimo ndo kinatuweka mjini tema kwa kwa jeuri kubwa,,unapoona watu wanamilik ndiga mjin usidhan pesa wanazitoa ofcn,watu wana invest huko bara na vijijin then wanaleta mafuso ya mazao mjni,kesho unakutana na mtu kaulamba simple na ndinga kali unadhan yuko mjin tuu,,badilika weweee watu wanapiga pesa mashambani
Ulitumia mbegu gani?Hizi ni hesabu za kwenye makaratasi na haswa hapo kwenye mavuno kwa eka moja
Angalau mahindi ukijitahidi utafukuzia gunia 15 kwa eka
Na hapo umekaza kweli kweli
Alizeti kupata gunia 10 kwa eka inahitaji miujiza aisee
Sijawahi kupata zaidi ya gunia 5 kwa eka
Mkuu gharama ya kukodi/kununua shamba kwa kibaigwa bei ganKutokana na uzoefu, lima alizeti na jitahidi angalau upate kuanzia gunia 5, pia utunze hiyo alizeti mpaka mwezi wa 12 hapo utaiona Faida.
Mpaka hapa ninapo andika hapa niko shambani napanda alizeti. na na huu ninapoongea gunia la alizeti la debe 7 ninauzwa 175000 huko kibaigwa. Sasa jiulize gunia la mahindi ni shilingi ngapi? Nadhani hata laki haijafika.
Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta bei ya alizeti itazidi kupanda tu cha muhimu usiwe na haraka kuuza.
Mahindi ukiyahudumia vyema unavuna gunia 20 hadi 30.Hizi ni hesabu za kwenye makaratasi na haswa hapo kwenye mavuno kwa eka moja
Angalau mahindi ukijitahidi utafukuzia gunia 15 kwa eka
Na hapo umekaza kweli kweli
Alizeti kupata gunia 10 kwa eka inahitaji miujiza aisee
Sijawahi kupata zaidi ya gunia 5 kwa eka
Gharama za uzalishaji wa mahindi kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano)
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu:4@12000=48,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi ya kwanza
Kupalilia:50,000 palizi ya pili
Sumu ya viwavi vamizi: 10,000
Mbolea ya kupandi: mfuko1@110,000
Mbolea ya kukuzia:mfuko 1@ 115,000
Kuvuna:40,000
Kupiga piga (Threshing):40,000
Usafirishaji.70,000
Gharama zingine:30,000
Sumu ya kutunzia mahindi 10,000
Jumla 700,000.
Matarajio ya mavuno gunia 25-30
Bei ya wastani ni 45,000 kwa gunia.
Kipato 1,125,000 hadi 1,350,000
Faida. 425,000 hadi 650,000
Kwa zao la Alizeti
Gharama za uzalishaji wa alizeti kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano).
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu: elfu 35,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi moja
Mbolea awamu moja 110,000
Kuvuna: 40,000
Kupiga piga:40,000
Usafiri: 70,000
Gharama zingine 30,000
Jumla 475,000
Matarajio ya mavuno gunia 15-20
Bei ya gunia wastani 100,000.
Kipato 1,500,000 hadi 2,000,000.
Faida 1,000,000 hadi 1,500,000.
Bado mashudu ukiuza yataongeza kipato
Hivyo Alizeti ina faida kubwa kulinganisha na mahindi, tena haina usumbufu mwingi.
Nawasilisha.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile ap
Nmekuwa nkijhusisha na kilimo Cha mazao yote mawil kwaupande wa mahind naweza nkakubaliana na ww, lakn alzet huwez ukapata gunia 15-20 kwenye heka hata sku moja, alzet zkizaa Sana Max ni gunia 10 ndugu zang tusdanganyane, na Mara zote alyelima mahind hupata faida zaidGharama za uzalishaji wa mahindi kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano)
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu:4@12000=48,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi ya kwanza
Kupalilia:50,000 palizi ya pili
Sumu ya viwavi vamizi: 10,000
Mbolea ya kupandi: mfuko1@110,000
Mbolea ya kukuzia:mfuko 1@ 115,000
Kuvuna:40,000
Kupiga piga (Threshing):40,000
Usafirishaji.70,000
Gharama zingine:30,000
Sumu ya kutunzia mahindi 10,000
Jumla 700,000.
Matarajio ya mavuno gunia 25-30
Bei ya wastani ni 45,000 kwa gunia.
Kipato 1,125,000 hadi 1,350,000
Faida. 425,000 hadi 650,000
Kwa zao la Alizeti
Gharama za uzalishaji wa alizeti kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano).
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu: elfu 35,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi moja
Mbolea awamu moja 110,000
Kuvuna: 40,000
Kupiga piga:40,000
Usafiri: 70,000
Gharama zingine 30,000
Jumla 475,000
Matarajio ya mavuno gunia 15-20
Bei ya gunia wastani 100,000.
Kipato 1,500,000 hadi 2,000,000.
Faida 1,000,000 hadi 1,500,000.
Bado mashudu ukiuza yataongeza kipato
Hivyo Alizeti ina faida kubwa kulinganisha na mahindi, tena haina usumbufu mwingi.
Nawasilisha.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nilikuwa najiuliza sana hayo mavuno ya alizetiMhhhhhh! Nmeguna
Nmekuwa nkijhusisha na kilimo Cha mazao yote mawil kwaupande wa mahind naweza nkakubaliana na ww, lakn alzet huwez ukapata gunia 15-20 kwenye heka hata sku moja, alzet zkizaa Sana Max ni gunia 10 ndugu zang tusdanganyane, na Mara zote alyelima mahind hupata faida zaid
Mkuu vipi mrejesho?Kutoka field;
Kukodi shamba =1@30000x10=300,000
Kusafisha masalia msimu ulopita= 1@4,000 x10=40,000
Pulima trekta 1@45000 x10=450,000
Mbegu 4@13000x10=520,000
Usafiri wa kuleta mbegu 1@6000 =6000
kupanda 10heka =35,000
Palizi 1@30000x10=300,000
Palizi ya pil =N/A
Mbolea =N/A
Sumu ya viwavi =N/A
Kuvuna = bado
Usafirishaji =bado
kupigapiga =bado
garama za kutunzia mahindi =bado
matumizi mengine =48,000
Usafiri wangu mpaka sasa =160,000
JUMLA MPAKA SASA GHARAMA =1,859,000
Nilipanda mahindi 20th Dec 2021 mpaka sasa yanelekea kukauka
Mategemeo ni magunia 14-20 kwa heka.
Mrejesho boss mashamba kununua ambayo hayajakatwa miti Ni 50000Mkuu vipi mrejesho?