Gharama za uzalishaji wa mahindi kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano)
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu:4@12000=48,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi ya kwanza
Kupalilia:50,000 palizi ya pili
Sumu ya viwavi vamizi: 10,000
Mbolea ya kupandi: mfuko1@110,000
Mbolea ya kukuzia:mfuko 1@ 115,000
Kuvuna:40,000
Kupiga piga (Threshing):40,000
Usafirishaji.70,000
Gharama zingine:30,000
Sumu ya kutunzia mahindi 10,000
Jumla 700,000.
Matarajio ya mavuno gunia 25-30
Bei ya wastani ni 45,000 kwa gunia.
Kipato 1,125,000 hadi 1,350,000
Faida. 425,000 hadi 650,000
Kwa zao la Alizeti
Gharama za uzalishaji wa alizeti kwa ekari.( Gharama zingine zinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutokana na maelewano).
Kusafisha shamba masalia ya msimu uliopita:30,000
Kulima:elfu 50,000
Mbegu: elfu 35,000
Kupanda:25,000
Kupalilia:55,000 palizi moja
Mbolea awamu moja 110,000
Kuvuna: 40,000
Kupiga piga:40,000
Usafiri: 70,000
Gharama zingine 30,000
Jumla 475,000
Matarajio ya mavuno gunia 15-20
Bei ya gunia wastani 100,000.
Kipato 1,500,000 hadi 2,000,000.
Faida 1,000,000 hadi 1,500,000.
Bado mashudu ukiuza yataongeza kipato
Hivyo Alizeti ina faida kubwa kulinganisha na mahindi, tena haina usumbufu mwingi.
Nawasilisha.
Sent from my SM-G955U using
JamiiForums mobile app