Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

Mkuu kuna kitu naendelea kujifunza hapa japo kama vile matokeo ya mahindi kwa maana ya kipato mahindi unaweza pata matokeo ya magunia mengi kuliko alizeti vile kama umezingatia mahitaji ya shamba
Kingine, usiangalie wingi wa mavuno muhimu ni kujua gharama za uzalishaji na bei ya soko ya zao husika.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa alizeti ni lulu,tena ukichanganya na vita ya Ukraine ndo kabisaaa! Bei ipo juu mnooo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kama hizi hesabu ziko sahihi kwanini watu wengi hukimbilia kulima mahindi na si alizeti? Mm Nina mashaka na hesabu zako!!! Mana tungekuwa hatuna changamoto ya mafuta nchini
 
Hiki ni kilimo cha makaratasi
 
Naendelea kusubiri michango ya wadao maana maeneo nlikozaliwa ukilima alizeti ni kama umepoteza ramani yani ni zao linaloonekana inferior sana ( wakulima hulima mahindi& maharage au mbaazi a.k.a kilimo mseto kwa sana labda mvua iwe imezingua ndo utaona wachache hulima alizeti lakini hawana furaha nayo ) nikiangali wakulima wa huku hawana hata hayo mawazo ya alizeti labda ya matumizi ya nyumbani. Ukitaka kujua hebu wajitokeze wadau wanaotoka ukanda wa Arusha, Kilimanjaro & Manyara ukiachana na wilaya ya kiteto ambao wanalima alizeti
 
Kalime ukiamini vita ya ukraine itadumu mpk utakapovuna,ndio utajua kilimo hakina baba wala mama
Kaka acha akili mgando,,sio kila anayelima ajitangaze kwenye tv umuone ndoo ujue kilimo kinalipa,kama hujui kulima kaa kimya na wala usiongee uongo kuhusu kilimo,,watu wanalima tena sana na wanapiga pesa sana wewe unakalia vijiweni kila siku na hiyo smart phone yako unategea mada za jamii forum ili uchangie huku umekaa kijiweni unasubili ugali wa bure kwa dada yako,,,acha kupotosha watu kuhusu kilimo,,hii kitu ndo watu wana invest pesa zao huko maporin na kila siku wanashusha fuso za kutosha mjni na wanatengeneza pesa mbaya,wewe kali kuongea usichokijua humu utashtukia una watoto hawajui jion wanakula nn,,sisi kilimo ndo kinatuweka mjini tema kwa kwa jeuri kubwa,,unapoona watu wanamilik ndiga mjin usidhan pesa wanazitoa ofcn,watu wana invest huko bara na vijijin then wanaleta mafuso ya mazao mjni,kesho unakutana na mtu kaulamba simple na ndinga kali unadhan yuko mjin tuu,,badilika weweee watu wanapiga pesa mashambani
 
Nlivyokuona tu kwny thread ya kilimo nlikaa mkao wa kula maana nlijua tu utamwaga madini. Uko vzr nmeokota kitu as usual!

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Mku Mkuu
Hongera kwa majibu mazuri!
Umepotea Sana jukwaani tangu January upo!!!?
Hebu msome yoga na hekaya zake Tuone wazo lako ni lipi katika hekaya zile!!!
 
Ulitumia mbegu gani?
Ulifuata kanuni zote za kilimo bora?
Ulifanya kila kitu kwa wakati?
 
Mkuu gharama ya kukodi/kununua shamba kwa kibaigwa bei gan
 
Mahindi ukiyahudumia vyema unavuna gunia 20 hadi 30.
Lakini sio huduma alizosema huyo mdau, mbolea mifuko hadi mnne kwa heka moja.
 
Mhhhhhh! Nmeguna

Nmekuwa nkijhusisha na kilimo Cha mazao yote mawil kwaupande wa mahind naweza nkakubaliana na ww, lakn alzet huwez ukapata gunia 15-20 kwenye heka hata sku moja, alzet zkizaa Sana Max ni gunia 10 ndugu zang tusdanganyane, na Mara zote alyelima mahind hupata faida zaid
 
Nilikuwa najiuliza sana hayo mavuno ya alizeti
 
Mkuu vipi mrejesho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…