Kati ya Malindi na Yanga ni yupi mkubwa kimataifa?

Yani seriously kihistoria unailinganisha Malindi na Uto? Uto size yao ni Biashara United na IHEFU. Uto hawamgusi hata Namungo.

Siku nyingine anzisha thread zenye mashiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa mbuzi ukiwatajia anga la kimataifa tu, wana nyongea kinyama yani.
 
Hamna akili wote....wa Tanzania tuna laana...cdhani UK wanaweza jadili upumbavu kama huu.....hii thread ni hovyo
 
kwanza pole kwa kulawitiwa na jinni Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita halafu issue za Yanga na Malindi zinakuhusu nini wewe KOLO
 
kwanza pole kwa kulawitiwa na jinni Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita halafu issue za Yanga na Malindi zinakuhusu nini wewe KOLO
Ndicho hicho tunachojua, Yanga mwenye akili kma wewe huwa ukianza Kuongelea Mambo ya kimataifa lazima waje na matusi, make wanajuwa vyema hakuna hoja kama wewe Kenge, uliyekuja na matusi, umeshindwa kuleta data zako kimataifa tufanye comparison na Malindi., Lkn ukaenda kuleta data za matusi, fungua Uzi mpya wa matusi basi tuje huko tulishukie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…