Kati ya mambo hayo, Kidedea na Kaole nani walibamba zaidi tasnia ya michezo ya kuigiza?

Anti Seche na Nina sijui wako wapi siku hizi
 
Dah enzi hizo wakina nora na nina miongoni mwa mabinti waliokuwa wazuri sanaaa.

Nora akiongea na ile ongea yake ya kudeka na macho yake ya kulegea walah utampenda.
Ila nora alikuwa mzuri sanaaaaaaaa.

Those are the days..!!
Alikuwa anavuta bangi, Ananunua pale white star mwananyamala.
 
halijatokea kundi bora kama Kaole
 
White elephant
 
Mpaka ukitafuta filamu au tamthiliya yoyote, kama kuba aliyepitia kaole, lazima asumbue.
 
Duuh, miaka imeenda aicee, halafu kuna TAUSI huu ulikuwa mchezo wa huko Mombasa ila ulipata mashabiki wengi sanaa Tanzania

Akina Mzee Kasri (Marehemu), Siti Bint Kasri (Marehemu), Mjuba n.k
Kina kibibi, linda, kalumanzira, baraza, tina, joto,bi zuri.
 
Hahaha Liverpool chaliii
 
Eeh tabia alikua mtukutu kweli
 
Mambo hayo walikuwa safi sana.

Kaole wengi walikuwa wahuni.

Kidedea walikuwa hawaeleweki ni makelele sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…