Anti Seche na Nina sijui wako wapi siku hiziSalaam,
We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. Watu kama kina bishanga bashaija, Cathy, rich, mzee jengua, tabia(rip),kibakuli,Nina,swebe,anti seche, Dr. Cheni, kisa, mhogo mchungu etc. Walikonga nyoyo za mashabiki wengi wa tasnia hii. Swali linakuja, je katika makundi yote haya unahisi kundi gani lilitisha zaidi na waigizaji gani walikukosha zaidi? Hebu tutiririke.....