Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kuu Gairo kwa taaluma yangu patanifaa kiaje?Gairo patakufaa mkuu, kulingana na taaluma yako, na kusudio la kilimo.
Kuu Gairo kwa taaluma yangu patanifaa kiaje?
[biashara ya madawa kule inalipa, na kuhusu kilimo kuna fursa ya kulima mazao mbalimbali kutegemea na mahitaji yako mkuu. ]
Umemaliza kila kitu .. hayo maeneo mengine ni njaa tupu..njoo mvomero kaka
fursa ni nyingi
kilimo ha miwa
kilimo cha mbaazi
Tunalima kokoa
Tunalima Iriki
kilimo cha mahindi ni misimu miwili kwa mwaka
Tuna mabonde ya kulima mpunga mud wote ...
yaani in short. ukija mvomero kutoboa ni nguvu zako mwenyewe.
Mpanda imekuwa Sukumaland Kingdom, kila fursa wamekaba..Nenda mpanda pako vizuri
Wale ni manamba kule hasa msimu huu wa kilimo wanaenda huko kwa makundi, japo ardhi bado ni kubwaMpanda imekuwa Sukumaland Kingdom, kila fursa wamekaba..
njoo unywe red wineIfakara imechangamka
Fursa bado zipo za kutoshaMpanda imekuwa Sukumaland Kingdom, kila fursa wamekaba..
ko kuna wafugaji? Wasukuma na wamasai?njoo mvomero kaka
fursa ni nyingi
kilimo ha miwa
kilimo cha mbaazi
Tunalima kokoa
Tunalima Iriki
kilimo cha mahindi ni misimu miwili kwa mwaka
Tuna mabonde ya kulima mpunga mud wote ...
yaani in short. ukija mvomero kutoboa ni nguvu zako mwenyewe.