Pangani na handeni zinaharibu sifa ya mkoa umwinyi mwingi,tafuta muda uende Kushoto kama kutalii huenda pakawa poa,na huenda uhamisho wake ukawarahisiUnasikia ila haujawahi fika mkuu ofcourse hata mimi nasikia pako vizuri mimi nipo pangani mkuu
Kabisa bora handeni kupo safi ila hiyo pangani kama wewe ni hustle utatamani kuondoka tuPangani na handeni zinaharibu sifa ya mkoa umwinyi mwingi,tafuta muda uende Kushoto kama kutalii huenda pakawa poa,na huenda uhamisho wake ukawarahisi
Nenda IfakaraWakuu mimi ni mtumishi aisee huku niliko Tanga mambo magumu nahisi kutoboa itachukua muda sana wakuu sasa nataka nichague sehemu kama tatu hivi kati ya mkoa wa morogoro (Gairo, Mvomero au Ifakara), Mpanda na Manyoni ipi ni sehemu mzuri kutoboa? Wakuu hasa hasa kwenye kilimo na kuuza maduka ya madawa.
Mimi ni mtumishi wa Afya wizara ya tam
Pangani, Mwera, Kipumbwi na Sakura sio sehemu za kufanyia biashara watu wanafanya biashara kwa kuangaliana huyu mtu wa wapi .Kabisa bora handeni kupo safi ila hiyo pangani kama wewe ni hustle utatamani kuondoka tu
Wasukuma ndio wanaoibeba mikoa ya Rukwa na Katavi ndio wenye nguvu za kiuchumi kuanzia Majimoto,Kakese, Kiiando,Kalema hadi Mpunze ziwani. ukienda maeneo ya Kakese kukodi heka 1 ya kulima Mpunga ni kadri ya lak 2 hadi lak 3 wakati maeneo ya Kilosa na Mvomero unaweza kupata kwa 70 hadi laki 1Wale ni manamba kule hasa msimu huu wa kilimo wanaenda huko kwa makundi, japo ardhi bado ni kubwa
Mkuu naomba nikucheki inboxnjoo mvomero kaka
fursa ni nyingi
kilimo ha miwa
kilimo cha mbaazi
Tunalima kokoa
Tunalima Iriki
kilimo cha mahindi ni misimu miwili kwa mwaka
Tuna mabonde ya kulima mpunga mud wote ...
yaani in short. ukija mvomero kutoboa ni nguvu zako mwenyewe.
Hii point ya muhimu sanaNdugu,kwa kilimo tazama wepesi wa usafirishaji kwenda sokoni mfano Gairo pamekaa vizuri sana.Baadhi ya maeneo ni mazito kwa sababu ya umbali kutoka saiti hadi sokoni.
Lushoto hakuna ardhi ya kilimo, otherwise aende Kilindi,ila kuna ushirikina huko hatari.Tanga ya wapi hiyo mkuu,nasikia Lushoto pako vizuri
Waarab wanaishi jangwani na wametoboa maisha, inategemea unataka kufanya niniWakuu mimi ni mtumishi aisee huku niliko Tanga mambo magumu nahisi kutoboa itachukua muda sana wakuu sasa nataka nichague sehemu kama tatu hivi kati ya mkoa wa morogoro (Gairo, Mvomero au Ifakara), Mpanda na Manyoni ipi ni sehemu mzuri kutoboa? Wakuu hasa hasa kwenye kilimo na kuuza maduka ya madawa.
Mimi ni mtumishi wa Afya wizara ya tam
Jangwa limejaa mafuta.Waarab wanaishi jangwani na wametoboa maisha, inategemea unataka kufanya nini
njoo mvomero kaka
fursa ni nyingi
kilimo ha miwa
kilimo cha mbaazi
Tunalima kokoa
Tunalima Iriki
kilimo cha mahindi ni misimu miwili kwa mwaka
Tuna mabonde ya kulima mpunga mud wote ...
yaani in short. ukija mvomero kutoboa ni nguvu zako mwenyewe.