Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wenye madubwi ya kamariDaaah hadi mikoan wapo hawa jamaa
Huwezi kwenda ukapata kazi au biashara ya maana China, Marekani ina fursa nyingi za kazi unazoweza kufanya nchini mwao. Pia suala lingine sio rahisi mbongo kuishi kwenye utamaduni wa China. Mengine muulize Xi Jinping
Umesema vyemakibiashara China ndiyo mpango mzima.
Kabisa mkuu.U.S.A husi ilinganishe na upuuzi
Sema ni kweli aseeChina walala hoi hao.
Tena usirudie kulinganisha USA na China.
Unaishusha hadhi USA.
USA ni Dunia.
Hailinganishwi wala kufananishwa na nchi yeyote ile.
China huwa hakuna fursa ya kusaidia wazee?Marekani fursa ni nyingi
Duuh atareBora Marekani mara mia, nenda China uone wananchi wa kawaida walivyo hoi.